Kumbukumbu ya Brigedia Gen. Moses Nnauye!

Kwa wenzetu kubadili Jina sio issue!

Bill Clinton Jina lake la kuzaliwa ni William Jafferson
 
Wewe ni mwongo. Nape ni mtoto wa nje wa marehemu Moses Nnauye. Alisoma (Nsumba SS kama sikukosea) Mwanza mama yake alikokuwa akiishi na baadaye ujombani Singida kabla ya kuja Dar es Salaam (2002 kama sikukosea) na kufikia mtaa wa Lumumba, Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM (hakuwa na mahali pa kufikia - alizamia kama wazamia meli waitwao stowaways). Nape alipokelewa baada ya kujitambulisha kwa jina la babake Moses Nnauye (RIP). Ofisi ya CCM ilimpokea na kumlea kama hisani kwa Mzee Moses Nnauye kwa kuwa hakukuwa na mtoto yeyote mwingine kutoka familia rasmi ya Mzee Nnauye aliyekuwa akijihusisha na Siasa. Utakumbuka kuwa watoto wa viongozi waandamizi wa CCM; JK Nyerere, Rashid M Kawawa, Ali Hassan Mwinyi, Abdul Wakil, John Samuel Malecela (mtoto wake Ipyana (RIP) liyekuwa Mwenyekiti UVCCM, DSM, alikufa kwa sumu kwenye kampeni za UVCCM 2001) , Abdul Jumbe Mwinyi, Abdallah Natepe, Lawi Sijaona, Peter Siyovelwa na wengineo walikuwa wamerithishwa mikoba ya wazazi wao ndani ya CCM au Serikali. Mzee Moses Nnauye alikuwa mdhibiti mkuu (M/kiti wa Kamati) wa nidhamu CCM HQ. Ukweli ndio huo.
 
Sasa mbona sijaona wapi umerekebisha Uongo wangu? Nmeona Kama umeongezea habari, fafanua wapi nimeongopa
 
Wapi amekuwa muongo. Au hujasoma aliyoandika
 
Sasa mbona sijaona wapi umerekebisha Uongo wangu? Nmeona Kama umeongezea habari, fafanua wapi nimeongopa

Wakati wa Mchakato wa Uenykt wa UV CCM wanamtandao wa Lowassa wakiongozwa na Mzee Yusuph Rajab Makamba walienda 'kumtengeneza' ni Mwanaisha Mke wa Ndoa wa Afande Nnauye amkane Nape na kweli akasaidiwa kuitisha Press conference akamkana Nape kuwa si wala hajawahi kuwa Mtoto wa Mzee Nauye kwa kuwa kwny Wosia wa Marehemu alioacha Kwny orodha ya Watoto wake Nape hakuwepo!

Nape was neglected by biological father therefore never was he formally mainstreamed in Moses Nnauye's family.
 
we unabisha bila kufikiria,
mke asiye wa ndoa.
Mtoto wa nje ya ndoa si unaeleza kilekile,

au ulitaka tujue na wewe upo?
 
Si ndio kilichofanyika, hakuna uongo hapo
 
Sijakuelewa wapi nimesema uongo Ila shukran kwa kuchangia
 
we unabisha bila kufikiria,
mke asiye wa ndoa.
Mtoto wa nje ya ndoa si unaeleza kilekile,

au ulitaka tujue na wewe upo?
This phrase: Wakati wa Mchakato wa Uenykt wa UV CCM wanamtandao wa Lowassa wakiongozwa na Mzee Yusuph Rajab Makamba walienda 'kumtengeneza' ni Mwanaisha Mke wa Ndoa wa Afande Nnauye amkane Nape na kweli akasaidiwa kuitisha Press conference akamkana Nape kuwa si wala hajawahi kuwa Mtoto wa Mzee Nauye kwa kuwa kwny Wosia wa Marehemu alioacha Kwny orodha ya Watoto wake Nape hakuwepo!
is incorrectly presented. Nape was neglected by biological father therefore never was he formally mainstreamed in Moses Nnauye's family.
 
Samahani sana wanafamilia wa mzee Nnauye, pamoja na wanajamvi wenzangu. Nina swali nataka kueleweshwa kidogo. Kuuliza si ujinga. Hivi huyu Marehemu Mzee wetu alikuwa dini gani?
Haposa! RIP Moses Nauye
 
Unamaanisha mzee Moses alimkana Nape kabla hajafariki?
 
No wonder!
 
Maajabu haya... sasa ni kipi ulichoongea kinachokinzana na yale aliyoongea Pohamba?! Kwamba jina halisi la Mzee Nnauye ni Mussa, au?!

Si bora basi ungenibishia mimi nilisema Nape aliwahi kuishi kwa Mzee Makamba kwa kofia ya Mzee Nnauye ili kupigilia hoja yako ya kwamba alilelewa na CCM Lumumba!!!!!
 
ila wewe hoja yako mpya,,labda Nape mwingine wa Haule,
Ni Nape huyu huyu ana dada watatu na Kaka watatu waliochangia baba.
Ana dada anaitwa Coletha, Zawadi na mmoja jina limenitoka.
Ana Kaka zake mmoja anaitwa William ambaye ni mwanajeshi, Max na mwingine alikua anasimamia gari za mzee wake coaster jina limenikimbia kidogo.
Nadhani hata yeye anawafahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…