technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,553
- 57,843
Huu uzi uwekwe kama kumbu kumbu na tuje kujikumbusha watakapokuwa wamefikia 1:Ole Sabaya 2: Makonda 3: Magufuli 4: Bashiru 5 Polepole Uwenda na mimi sitakuwepo ila nataka huu uzi uwe wa kumbukumbu kwao kwamba hata uko nyuma kulikuwa ma watu wasioguswa miamba lakini walianguka vibaya.