Kumbukumbu: Watakapokuwa baadhi ya watu baada ya 2025

Wewe utakuwa wapi?
Huu uzi uwekwe kama kumbu kumbu na tuje kujikumbusha watakapokuwa wamefikia 1: Ndungai 2: Makonda 3: Gambo 4: Chalamila 5 Polepole Uwenda na mimi sitakuwepo ila nataka huu uzi uwe wa kumbukumbu kwao kwamba hata uko nyuma kulikuwa ma watu wasioguswa miamba lakini walianguka vibaya.
 
Ongeza DC wa Hao...ni mpumbavu sana yule

Dua la paka kimbulu
 
Gambo sioni shida yake. Huyu kijana yuko vizuri hakurupuki. Ana stahili kuendelea. Sio rahisi kwa hawa maboya ulio wasema hapo juu kuleta amani Arusha kama alivyo fanya Gambo
 
Huu uzi uwekwe kama kumbu kumbu na tuje kujikumbusha watakapokuwa wamefikia 1: Ndungai 2: Makonda 3: Gambo 4: Chalamila 5 Polepole Uwenda na mimi sitakuwepo ila nataka huu uzi uwe wa kumbukumbu kwao kwamba hata uko nyuma kulikuwa ma watu wasioguswa miamba lakini walianguka vibay
NI KWELI
 
Huu uzi uwekwe kama kumbu kumbu na tuje kujikumbusha watakapokuwa wamefikia 1: Ndungai 2: Makonda 3: Gambo 4: Chalamila 5 Polepole Uwenda na mimi sitakuwepo ila nataka huu uzi uwe wa kumbukumbu kwao kwamba hata uko nyuma kulikuwa ma watu wasioguswa miamba lakini walianguka vibaya.
Ni kweli
 
Yaan wapinzania ni sawa na fisi anayefuata mkono wa binadam akisubiri uanguke aokote ale. 2025 ccm itaendelea kuwa madarakani hivo watakuwa wastaaf tu kama kina lowasa na wengine km pina nk
 
Corona! Hao mbumbumbu walioruhusu herd immunity watatangulia kwanza wao, mark my words!

Herd immunity isiyotangazwa? Nadhani kilichofanyika ni kujali zaidi uchumi, mapato na miradi ya serikali kuliko uhai wa binadamu. Covid 19 ingepewa uzito unaostahili matokeo yake ni kupungua kwa mapato ya serikali sambamba na kutenga bajeti kubwa ambayo ingeathiri miradi pendwa.
 
Ndugai labda aanze kupiga bodaboda maana round hii habebeki wapiga kura wake wenyewe wameshampa tahadhari mapema kuwa asitegemee chochote labda wampitishe kwa special seats! vinginevyo habebekii!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom