Kumbukumbu siku yangu ya kuzaliwa

Mtayarishaji

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
291
199
Siku kama ya leo tarehe na mwezi kama wa leo miaka mingi tu huko nyuma nilizaliwa.

Wewe si wewe pekee....ni KILA MMOJA ndani yako.

Kuna watu wanaoamini kuwa FULANI ni mwema ama m'baya na kuachilia mbali kilichomfanya ama asili ya "uzuri" ama "ubaya" wake. Lakini haijalishi watafsiri vipi UBAYA ama UZURI wa kitu ama mtu, bado tunatambua kuwa maisha ya yeyote katika hali yoyote YANATENGENEZWA na pilika, mahusiano na mchakato wa kila siku wa mtu na wale wamzungukao tangu KUZALIWA, makuzi, malezi, mazingira na mengine mengi.

Swali

Je, umeshawahi kumshukuru ama kumuombea adui yako?

Sio kila mtu ana hulka na uwezo wa kuwashukuru au kuwaombea wote. Wapo ambao hushukuru, kutukuza na ama kulaumu na kupuuza kwamba kuna mwanzo wa baraka ama laana.

KILA UONALO linabadili mtazamo wako wa maisha. Linabadili fikra ya namna unavyoyatazama maisha (iwe kwa kuyafanya yaonekane magumu ama marahisi) na pia linakupa taswira ya maisha ambayo ni kuboresha uliyokuwa nayo ama taswira mpya ya maisha.

Leo tarehe 7, Septemba tena ijumaa nimekamilisha idadi ya miaka na uzoefu mwingi ktk maisha na utafutaji.

Aisee, hongera sana kiongozi.

Nakutakia umri mref wenye baraka, amani na afya tele ndugu.

Ila kwenye suala la kunywa na kula sina kizuizi chochote kwenye kula wala kunywa mkuu nakula chochote na nakunywa chochote kasoro mdudu na vinywaji vigumu. Hivyo usinisahau aisee.

Ahsante Sana.
 
Hahaha, sina sherehe ujenzi umenikamua sana mkuu.
 
Happy birthday kwako mkuu mtayarishaji Mungu azidi kukubariki na kukufungulia milango yako ya baraka
 
Aisee, hongera sana kiongozi.

Nakutakia umri mref wenye baraka, amani na afya tele ndugu.

Ila kwenye suala la kunywa na kula sina kizuizi chochote kwenye kula wala kunywa mkuu nakula chochote na nakunywa chochote kasoro mdudu na vinywaji vigumu. Hivyo usinisahau aisee.

Ahsante Sana.
Nimecheeka shunie mm huo mstari wako wa mwisho
 
Siku kama ya leo tarehe na mwezi kama wa leo miaka mingi tu huko nyuma nilizaliwa.

Wewe si wewe pekee....ni KILA MMOJA ndani yako.

Kuna watu wanaoamini kuwa FULANI ni mwema ama m'baya na kuachilia mbali kilichomfanya ama asili ya "uzuri" ama "ubaya" wake. Lakini haijalishi watafsiri vipi UBAYA ama UZURI wa kitu ama mtu, bado tunatambua kuwa maisha ya yeyote katika hali yoyote YANATENGENEZWA na pilika, mahusiano na mchakato wa kila siku wa mtu na wale wamzungukao tangu KUZALIWA, makuzi, malezi, mazingira na mengine mengi.

Swali

Je, umeshawahi kumshukuru ama kumuombea adui yako?

Sio kila mtu ana hulka na uwezo wa kuwashukuru au kuwaombea wote. Wapo ambao hushukuru, kutukuza na ama kulaumu na kupuuza kwamba kuna mwanzo wa baraka ama laana.

KILA UONALO linabadili mtazamo wako wa maisha. Linabadili fikra ya namna unavyoyatazama maisha (iwe kwa kuyafanya yaonekane magumu ama marahisi) na pia linakupa taswira ya maisha ambayo ni kuboresha uliyokuwa nayo ama taswira mpya ya maisha.

Leo tarehe 7, Septemba tena ijumaa nimekamilisha idadi ya miaka na uzoefu mwingi ktk maisha na utafutaji.

Wewe si wewe pekee....ni KILA MMOJA ndani yako.
Happy birhtday
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom