englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Rais wa Uganda, Yoweri Kagutta Museveni akiwa na mwanae kwenye viunga vya chuo cha ushirika Moshi mwanzoni mwa miaka ya 1970. Wakati huo alikuwa mwalimu katika Chuo Cha Ushirika Moshi baada ya kukimbia Uganda kufuatia mapinduzi yaliyofanywa na Idd Amin Dada.