Mkuu nimekumbuka mbali mno!! Hiyo picha ya will smith akiwa na mkurugenzi wa kampuni ya AtoZ nilikuwepo kwa pembeni hapo!! Alikuwa amepiga kambi eneo la kisongo kwa takribani wiki mbili wakipiga picha za filamu yake maeneo mbalimbali ya mkoa wa arusha na na kwenye hifadhi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.