J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,521 Aug 7, 2025 #1 Kwa haraka hizi ndio alama za kumkumbuka hayati Job Ndugai Pale Salasala Ndugai na Mbowe mwanajeshi ndio walikuwa Watu maarufu zaidi Na Dodoma Jiji kuna Soko ambalo Shujaa Magufuli alilibatiza kuwa Solo la Ndugai Rip Job Ndugai
Kwa haraka hizi ndio alama za kumkumbuka hayati Job Ndugai Pale Salasala Ndugai na Mbowe mwanajeshi ndio walikuwa Watu maarufu zaidi Na Dodoma Jiji kuna Soko ambalo Shujaa Magufuli alilibatiza kuwa Solo la Ndugai Rip Job Ndugai
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 18,191 Reaction score 34,264 Aug 7, 2025 #2 Aliacha wabunge 19 wasiokuwa na vyama bungeni maarufu kama covid 19.