Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,102
- 53,357
Kuna wapuuzi wanamuita Nyerere baba wa taifa.Ujamaa ndio umetufikisha hapa kama taifa,kua masikini na omba omba na kufanya vijana kukimbia vijiji vyao na kujazana mijini
Why?
Kabla ya ujamaa Kulikua na wakulima wa large scale plantation wakimiliki mashamba makubwa Sana ya uzalishaji
Mfano ya Mzee baba Mwamwindi ,
Na Watu enzi hizo walikua wakiishi Kwenye mashamba makubwa ya ukoo yaliyojitosheleza Kwa chakula na biashara pia,kile kitendo Cha kuwatoa Kwa Nguvu Kwenye base zao na kuwarundika Kwenye vijiji vya ujamaa ulikua ni uwendawazimu wa kiwango kikubwa Sana
Note: Usingekua ujamaa Leo tungekua na Mabepari weusi kibao wanaomiliki uchumi mkubwa Sana na ingeongeza hamasa Kwa vijana kuanzisha mashamba ya kisasa kabisa imagine miaka ya 60's huko kina Mwamwindi wanamiliki maekari ya mashamba,majumba,matrekta nk
je wasingepokwa miaka ile Leo familia zao zingekua na ukwasi wa kiasi Gani?
Upuusi mtupu.