Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,869
- 828,403
Mradi wa Treni-Ndege ya umoja wa Kisovieti (Soviet Jet Train) ulianza katika miaka ya 1970 kwa wazo rahisi, weka injini za ndege ambazo haziwezi kutumika tena angani, lakini bado zinaweza kutumika ardhini.
Kwa mradi huu, Treni ya ER22 ilirekebishwa umbo kuweza kusimikwa injini za ndegevita ya YAK-40 kuunda treni ya majaribio.
Mnamo mwaka 1971 hadi 1975 Treni yenye injini ya ndege iliundwa na kufanyiwa majaribio kwenye njia ya reli kama sehemu ya Mradi wa Treni mwendokasi ya ER200.
Mnamo 1972, Treni ilifikia kasi ya 250 km/saa katika Reli ya Dnieper, na kuweka rekodi kwa reli za Soviet.
Mnamo 1975, baada ya kutolewa kwa Tteni ya ER200, hitaji
kwa treni ya mwendo kasi yenye injini za ndege ilitoweka na mradi ukasitishwa.