Kumbukizi; Kifo cha Marijani Rajab

Akiwa na bendi ya Safari Trippers miaka ya 70 kabla hajaicha na kwenda kuanzisha bendi ya Dar international 1976, anakumbukwa kwa nyimbo za,Georgina,Rosa nenda shule na Mkuki Moyoni.
 
Alizaliwa Machi, alikufa Machi na kuzikwa Machi.
Kaburi la Marijani Rajabu katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Leo ni miaka 30 kamili tangu afariki.`Pumzika kwa amani King rajab.View attachment 3282396

Kwa namna ya pekee kabisa namkubali sana Marijani Rajabu. Nikiwa mdogo kuna nyimbo mbili zilinikaa sana akilini. Ajali ya Mpenzi Zuwena na Salama.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…