Mbona dalili zako zimeanza kuonekana.Bado sana mkuu 😂😂😂
Alizaliwa Machi, alikufa Machi na kuzikwa Machi.
Kaburi la Marijani Rajabu katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Leo ni miaka 30 kamili tangu afariki.`Pumzika kwa amani King rajab.View attachment 3282396