Kumbukeni kuoga mkimaliza....

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,644
Reaction score
860,873
Kuna baadhi mnasoma msg hii mkiwa gesti house na michepuko.... Nawakumbusha tu msisahau kuoga na kutoa mijanaba yenu si kila mtu unayengonoka naye ni binadamu wa kawaida.. Wengine ni majini, wengine ni mashetani, wengine ni wachawi.. Ukioga unapunguza risk za nuksi na kubeba yasiyobebeka[emoji12] [emoji30] [emoji15]
 
Ahahahaha karibu ibada ya mkesha. Hao waache wajanabiane tu.
 
Dunia ina kila aina ya watu, badala ya kutumia mda na familia siku kama hizi, unakuta mtu yupo na kimada/mchepuko anafurahia maisha.

Kwa kweli waoge tu, wasafishe nyeti zao vizuri wasije kuwaletea watoto wao nuksi.
 
Hahahaaa unatugea ushauri mzuri....nawewe unaogaga??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…