Kumbuka ulikotoka!

Kumbuka ulikotoka!

Gegomnete

Member
Joined
May 17, 2018
Posts
6
Reaction score
12
Alikusomesha kwa kulima shamba hili hili akamalizia nguvu zote hapo. Mzee bado anahangaika hivi kijijini kwenye shamba lile lile huku wewe mjini unaishi kwa anasa na kuhonga wanawake simu za laki 9.

Unajua laana nyingine si lazima waseme!

IMG_20181004_114848.jpeg
 
Vijana utawakuta mjini na HARRIER matako ya nyani wanabadilisha viwanja vya kula bata na warembo, huko kijijini wazee wanasaidiwa na mfuko wa TASAF.
 
Back
Top Bottom