Kumbuka hili kuhusu pesa

Kumbuka hili kuhusu pesa

Decibel

Senior Member
Joined
Nov 30, 2019
Posts
176
Reaction score
323
Kumbuka kila wakati kuwa matumizi yako ni mapato kwa mtu mwingine, watu ambao wako nje ya udhibiti wa mtiririko wa pesa zao wanafanya watu wanaosimamia mtiririko wa pesa zao kuwa matajiri.

Je umeshawahi kufikiria kuanzisha mfumo wa biashara ? Ndio ni business system.

Unaweza kujifunza pia kuhusu business system kwenye vyanzo mbali mbali.
 
Aisee,
Matumizi yangu ya nauli ni mapato ya mwenye daladala,mama ntilie,na wengine o
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom