kumbu kumbu mjarabu

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
 
Yaani nimecheka mpaka basi. Sasa hiyo miguu kwenye beseni inamsaidia nini kama bado amepiga mbonji? Chezea usingizi wewe!!!!!

Tiba
 
Yaani nimecheka mpaka basi. Sasa hiyo miguu kwenye beseni inamsaidia nini kama bado amepiga mbonji? Chezea usingizi wewe!!!!!

Tiba
Tiba kwani hujapitia hii?
 
Last edited by a moderator:
Tiba kwani hujapitia hii?

Mkuu Utafiti, wakati nasoma kichwa changu kilikuwa kizuri sana tu. Nilikuwa nasoma maximum two hours then naenda kulala. Lakini kwenye paper, hawa waliokuwa wanakesha wala walikuwa hawanipati. Huwezi kulazimisha kuingiza mambo kwenye kichwa wakati ubongo umechoka.

Tiba
 

Nikweli Tiba, mimi hii ya maji sijafanya ila kukesha tayari sana tu
 
Last edited by a moderator:
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
 
Sipati picha atakapopitiwa na usingizi , kisha akaota ndoto ya kutisha
 
safiii,kitambo mbaya...wengine tulikuwa tunatoboa kabisa.....wanafunzi wa hivi siku hizi ni wachache sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…