Maswali yako ni Maswali ya Kitoto mkuu
mangatara Kabla ya Ya muungano wa Unguja na Tanganyika Waunguja walikuwa na nyimbo yao ya Taifa ,Benderayao ya Taifa na kila kitu baada ay Muungano hivyo vyoe vilifutika kwa sababu ay huo muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kabla ya muungano Zanzibar ilikuw ani nchi kamili inayotambulika duniani. Mkuu.mangatara Umezaliwa mwaka gani? Unajuwa Historia ya unguja wewe ?

Zanzibar bendera jipya 2005
(tangu Januari 2005)

Bendera ya Zanzibar mwaka 1964
baada ya mapinduzi hadi muungano na Tanganyika

Usultani wa Zanzibar
Desemba 1963 hadi Januari 1964

Usultani wa Zanzibar <small>
bendera ya kale
Bendera ya Zanzibar
<small>
Zanzibar ilhali ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilipata tena bendera ya pekee tangu Januari 2005. Inaunganisha bendera ya Tanzania na ile ya Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ya mwaka 1964 iliyotumika kati ya mapinduzi ya Januari na muungano ya Zanzibar na Tanganyika katika Juni 1964.</small>
<small>Zanzibar ilikuwa na bendera yake tangu kuhamia kwa Sultani wa Omani kutoka Maskat kuja Zanzibar. Bendera nyekundu ilikuwa sawa na ile ya Sharifa wa Maka.</small>
<small>Baada ya kupata uhuru mwaka 1963 usultani uliongeza alama ya karafuu katika bendera yake.</small>
chanzo.Bendera ya Zanzibar - Wikipedia, kamusi elezo huru</small>