Kumbe Zanzibar walikuwa na Pesa yao!!!!!!!!!!!!!!!!

Kumbe Zanzibar walikuwa na Pesa yao!!!!!!!!!!!!!!!!

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
Hii ilikuwa hela inayo tumika Zanzibar, sijui kwanini iliachwa na kuanza kutumia Shilingi ya Tanganyika.

b79f09752dc67a1f21d2f7ce8a81f966.jpg


Zanzibar_p3_10_Rupees_f.jpg



ZanzibarP2fr20001.297211848_std.JPG
 
Hii ilikuwa hela inayo tumika Zanzibar, sijui kwanini iliachwa na kuanza kutumia Shilingi ya Tanganyika.

b79f09752dc67a1f21d2f7ce8a81f966.jpg


Zanzibar_p3_10_Rupees_f.jpg



ZanzibarP2fr20001.297211848_std.JPG
usishangae Zanzibar kuwa na fedha yake...............Shangaa Zanzibar kutokuwa na Serikali yake..........!!!!
 
Wamekwisha sasa wameungana na sisi watanganyika ni kuwazulumu kila kitu chao
 
Mmmh!!!!!!!! mmh!! hivi hii nchi niyakiarabu au kidin??????? mimi inanichanganya
 
Tuwaulize Wa-Danganyika wapo Teyari kuwapa Waunguja nchi yao?
Kama wenyewe hawataki manaake walipewa nafasi hiyo ya kuamua kwenye BMK wakakataa, acha tuwafaidi
 
Back
Top Bottom