murutongore
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 2,051
- 639
kuna rafiki yangu mnyarwanda nilikuwa nachat nae nikamuuliza kwanini watutsi wachache wanajipa haki ya kutawala wahutu walio wengi? Na kwanini watutsi wanajiona bora?
Akaniambia wao asili yao ni ethiopia na ni kizazi cha kiyahudi kupitia queen sheeba kama walivyo mafalasha!
Akasema kama ilivyo kwa mayahudi wa israel na kwao pia!
Ni kweli hili?
Mkuu haya mambo ya kuthibitisha kisayansi ndio tunataka, sio porojo - well done.Watutsi Wanafanana na wasomalia na mwanzoni walidhaniwa madai yao ni ya kweli ila baada ya kupimwa DNA walikutwa ni wabantu pure..... na wala sio cush Wakina Dr. Slaa ndio wana damu za Wacush na Asili yao ni Ethiopia... hapa Tanzania wapo wenye asili ya Cush Tanga wapo korogwe wanaitwa Wambugu hufanana na waethiopia kabisa hata nywere zao kama za wasomali Manyara wapo huitwa Wairaqw wengi wamechanganyikana na Wadatooga ambao kuja kwao Tanzania walikuwa wanafuatana Wambulu ni hao hao Wairaqw na Wadatooga ambao waliharibu lugha asili ikawa na mchanganyiko so wengi ni wale walioenda hadi kufika Iringa baada ya taabu za maisha wakaanza kurejea hadi manyara tena Wairaqw waliobaki ambao hawakuondoka waliwaita wenzao Wambulu...
Beginning about 1880, Roman Catholic missionaries arrived in the Great Lakes region. Later, when German forces occupied the area during World War I, the conflict and efforts for Catholic conversion became more pronounced. As the Tutsi resisted conversion, the missionaries found success only among the Hutu. In an effort to reward conversion, the colonial government confiscated traditionally Tutsi land and reassigned it to Hutu tribes, igniting a conflict that has lasted into the 21st century.[SUP][14] Source Tutsi - Wikipedia, the free encyclopedia[/SUP]
Kuna rafiki yangu Mnyarwanda nilikuwa nachat nae nikamuuliza kwanini watutsi wachache wanajipa haki ya kutawala wahutu walio wengi? Na kwanini Watutsi wanajiona bora?
Akaniambia wao asili yao ni Ethiopia na ni kizazi cha kiyahudi kupitia Queen Sheeba kama walivyo Mafalasha!
Akasema kama ilivyo kwa mayahudi wa Israel na kwao pia!
Ni kweli hili?
ukiona watu wanaongea sana ujue wanaogopana , wanaume huwa hawaongei sana kama vip tz na rwanda zipigwe:fencing: japo wiki moja tu tone nani atakuwa na manundu:boxing: mengi zaidi ya mwenzie coz tumechoka mipasho yenu kila siku. refa kenya :horn:na mshika kibendera uganda:tea: na burundi :majani7: . hay nasema "hajimiiiii ....hayooooo... "Kuna rafiki yangu Mnyarwanda nilikuwa nachat nae nikamuuliza kwanini watutsi wachache wanajipa haki ya kutawala wahutu walio wengi? Na kwanini Watutsi wanajiona bora?