Wanacreate myth kuonekana bora hawana lolote. Ni mbari fulani ya wachunga mifugo kama wamasai kutoka kaskazini ya afrika milima ya ethiopia.
Kwani nyie hamkuona kuwa Kagame alialikwa kwenda Israel baada ya hizi purkushani kuanza!
Kwa nini alialikwa na kurudi kwa matamko ya ajabu?
Ila nadhani hiyo ni theory ya wazungu wanaowadanganya kwani hamna uthibitisho huo. Kwa sasa DNA inaweza kupimwa na kujulikana ukweli wenyewe.
Kuna rafiki yangu Mnyarwanda nilikuwa nachat nae nikamuuliza kwanini watutsi wachache wanajipa haki ya kutawala wahutu walio wengi? Na kwanini Watutsi wanajiona bora?
Akaniambia wao asili yao ni Ethiopia na ni kizazi cha kiyahudi kupitia Queen Sheeba kama walivyo Mafalasha!
Akasema kama ilivyo kwa mayahudi wa Israel na kwao pia!
Ni kweli hili?

Uhuni tu wa mabeberu wa kiyahudi. Walihitaji manamba huko kwao halafu wanawavunga mafalasha eti ni waebrania. Kua myahudi sio kua muebrania (hebrew) ambayo ndio mbari ya mayahudi wengi. Mbona sasa wanawafurusha watu weusi kutoka israel baada ya kuona manamba wamezidi? Watutsi nao kama wanajidai ni mayahudi waende basi israel wakawe manamba kama mafalasha.Kuna rafiki yangu Mnyarwanda nilikuwa nachat nae nikamuuliza kwanini watutsi wachache wanajipa haki ya kutawala wahutu walio wengi? Na kwanini Watutsi wanajiona bora?
Akaniambia wao asili yao ni Ethiopia na ni kizazi cha kiyahudi kupitia Queen Sheeba kama walivyo Mafalasha!
Akasema kama ilivyo kwa mayahudi wa Israel na kwao pia!
Ni kweli hili?
Wapo sahihi, Queen of Sheeba alizaa na Mfalme Suleiman mtoto wa Kiume na alirudi Ethiopia na mwanae, Queen of Sheeba she was a pure beautifully black ambaye hajawai kutokea tena, unaweza kuona kwenye Bible Suleiman anavyomsifia, pia unaweza kuwacheck wadada wa kitutsi walivyo, so Cute.
Hii Tutsi obsession ni kama mental illness humu JF,mtaacha lini kuleta hizi idiotic conspiracy?almost 20 topics everyday mnajadili watutsi tuu,hamjishtukii?
Kama na wewe uliamini ujue sio mzima..Jews weusi?? wanauwezo gani kama wa Israel au kiburi cha huyo kagame
swali jepesi....je wakati queen of sheba anenda israel je kulikuwa na waethiopia wengine...? kama walikuwepo je hawakuzaana? kama walizaana kwa nini hawa jamaa waseme wao ni wayahudi je wote walikuwa kizazi cha huyo malkia au..... ni sawa na mzaramo akazao na mzungu halafu wazaramo wa dar nao wadai kuwa ni wazungu japo sio wa mama yule aliyezaa na mzungu.