Kumbe watu wanatoka mbali sana

hapo kabla angesema siku moja atapeana mikono na raisi angeonekena chizi
 
hapo kabla angesema siku moja atapeana mikono na raisi angeonekena chizi

Kweli kabisa kumbe hapo ndipo utajua akuna linaloshindikana ni juhudi na nia tu.
 
Kweli kabisa kumbe hapo ndipo utajua akuna linaloshindikana ni juhudi na nia tu.

umeona eeeh hakuna linaloshindikana ukiwa na malengo plus nia uskate tamaa na watu wasikurudishe nyuma
 
Huyu nae hapa alikuwa ajui kama siku moja atakuwa Rais wa Tanzania
 
Hapo ndipo utakubali usemi time will tell...unaweza ukatoka any time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…