Kumbe wanaume wana vichwa viwili

Ni ukweli usipingika,na unaweza kushangaa hata hao wabakaji baada ya kile kichwa cha chini kusinyaa kichwa cha juu kuinuka wanajikuta katika hali ya majuto sana, wanaumizwa na walichokifanya ila wanakua hawana namna maana wameshafanya!
Umeona eeh shost
 
Baka then hio iwe ni sabab ya kujitete ili uone moto wake
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Monicccca shenz kabisaaa
 
Ni kweli, na ndiyo maana unaweza ukakuta mwanamke kichaa ana mimba katiwa mimba na mwanaume mzima, wakati huwezi kuta mwanamke mzima aliyetiwa mimba na mwanaume kichaa....
 
Kule chini hakuna kichwa wala miguu, kukiamua kuingia kunaingia kote tu
 
Ni kweli, na ndiyo maana unaweza ukakuta mwanamke kichaa ana mimba katiwa mimba na mwanaume mzima, wakati huwezi kuta mwanamke mzima aliyetiwa mimba na mwanaume kichaa....
Ina maana mwanaume akitumia kichwa cha chini kufikiri huwa sawa na kichaa?
 
Ina maana mwanaume akitumia kichwa cha chini kufikiri huwa sawa na kichaa?
Kwa kichwa cha chini wote ni sawa... Tofauti inaanza kupimwa wakati kichwa cha juu kinapopata matumizi... By the way, ukichaa unapimwa kwenye kichwa cha juu tu.. si kwa kiungo kingine chochote
 
Mada Ya Kipuuzi kutoka kwa Mpuuzi ikikomentiwa na Mpinga Upuuzi.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…