Kumbe wanaume ndio wapo hivi!?

Wewe jamaa huwa nakukubali sana kwa mawazo yako wewe umeshindikana wewe ni mnyama kibongo bongo ndan ya selikal nakufananisha na mbabe wa kivita, mafionso aka mtemi chenge hugusiki
Mi binafsi siku nipatapo like yake huyu The Boss huwa najiona nimetoa bonge la point.

Hata nami namkubali mno aisee. M'Mungu azidi kumbariki
 
Khaa huyo mama mkwe wako hana mume? Mweeh pole kwa kuolewa na mama mkwe wako khaaaa.
Aunt yake huwa sijuagi nini kinasababisha baadhi yao wanakuwa hivyo. Sasa huo sijui ndio tuuite wivu au ndio kumpenda sana mwanae
 
Aunt yake huwa sijuagi nini kinasababisha baadhi yao wanakuwa hivyo. Sasa huo sijui ndio tuuite wivu au ndio kumpenda sana mtoto wake.
Kukosa tu ufahamu nafikiri. Kumpenda mwanao ndo uende ukaingilie ndoa yake? Wamama wanaowaacha watoto wao waishi vizuri na familia zao ndo hawawapendi watoto wao? Ubaya amepata mwanaume asiyejitambua pia na yeye kashikiwa akili na mama yake. Kazi ipoooo
 
Mi binafsi siku nipatapo like yake huyu The Boss huwa najiona nimetoa bonge la point.

Hata nami namkubali mno aisee. M'Mungu azidi kumbariki
Huyo jamaa kuna siku moja alikua anatupa mbinu za kuwapata mademu masta inster maana huwa wanatabia ukimutumia msga hawJibu sasa mkuu the boss siku moja akanipa mbinu za kuwapata na kujibu hizo msg nikazitumia zike mbinu zake alizonipa aisee sikuamini kuona staa mmujo akijibu coment zangu

Huyo jamaa ni hatar sana the boss we mkali maujanja yako yamefanya saiv nina namba ya nandy na shilole
 
Inaonekana wewe ndio mkosaji, unasemaje wanaume tupo hivo, hii inadhiirisha kua unachepuka au una experience na wanaume maana huwezi kutumia uwingi wetu kumzungumzia mumeo.....

But kwa maelezo yako, kosa kubwa ulilolifanya ni kuonyesha wazi upendo wako asilimia 100% kwamba bila yeye huwezi fanya kitu,,

Wanasaikolojia wanasema The only way to get some one attention is to stop giving them yours,, jaribu hii kitu, I mean na wewe punguza mihemko kulialia kwa sababu yake au kujionyesha kua umekufa umeoza, trust me ukifanya hivi lazima ataona tu kuna kitu ana ki miss na ataanza kujirudi,, kama hamna tatizo lotote lililosababishwa na wewe,, au pia kama source sio mambo ya watoto trust ni lazima atajirudi.
 
Kweli kabisa na hata sipati picha wanavyoishi humo ndani mana itakuwa yeye ndio mpangaji wa kila kitu utadhani nyumba ya kwake.

M'Mungu atuepushie aunt yake mana wakwe wengine ni majanga.
 


Hi tabia ni ya Huyo huyo wa kwako
 
The Boss is more than best aisee. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hongera kwake.
 
Badilisha simcard chukua ya 5G kasi ya mwanga
 
Kweli kabisa na hata sipati picha wanavyoishi humo ndani mana itakuwa yeye ndio mpangaji wa kila kitu utadhani nyumba ya kwake.

M'Mungu atuepushie aunt yake mana wakwe wengine ni majanga.
Kwa kweli Mungu atuepushe tu. Mie nimetoka home kwetu naambatana na mume wangu sio mama yake
 
Ungetupia na picha za hao watu ili tukushauli vzur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…