Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

Mkuu kubishia gazeti napo ni kipaji. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Elimu niliyonayo inapingana na hicho walichoandika datz y nabisha...ila its okay maana ndo wameshaandika..
 
Hapo hakuna kitu kama hiyo,labda huenda ukawa wewe ndio unazo embu jicheki
 
Mtoa mada hajui hedhi maana yake. Menstruation period (MP) haiwahusu wanaume
 
Jimena,et wanaume wanapata hedhi kama wake zao!!!hii kali ndugu zanguni toeni neno wanaume ni kweli au huyu mtu anawatukana!??
 
Jimena unatukana wazazi sasa mbona mume wangu hapati hizo siku au ni tasa!!!!
Sio mimi ni gazeti ndo liliandika hivyo na nililiweka isipokuwa mods walipouhamishia huu uzi huku ndo wakatoa hilo gazeti lililoandika kuhusu huo utafiti
 
Weeee ondoa upuuzi wako.
Sie tunagonga sitini hakuna huo upuuzi.
Itapita wapi kwanza?
 
Unasema ni uongo wakati hata maana hedhi hujui? We nae ni JIPU[emoji134]
Nafahamu vizuri sana maana ya mp....ni kutoka kwa yai mfu lisilorutubishwa,kuta shikiz za uterus,mucus, and blood. Sasa nashangaa hii itatokeaje kwa mwanaume?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…