Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

uliyelisoma hilo gazeti umetuacha na njaa kali. Hiyo hedhi hutokea wapi? Ni ma DJ au rijali? Ni wa dunia nyingine au hawa hawa wa hapa? Nikabaki kujiuliza, kuna wanaume wa sampuli mbili au? Mbona miye nakimbilia 70 lakini hata siku moja sijawahi ona hiyo dalili?? Nikajiuliza, au miye sio dume?? Mleta mada naomba nijibu
 
Hivi amekosekana mtaalamu wa kuja kudhibitisha au kupinga kitaalamu? JF naona inaanza kususiwa na ma great thinkers kutokana na wanafunzi kuivamia.
 
Kesho utasikia...ili mwanaume uishi maisha marefu inabidi ukikojoa uchuchumae... ukiuliza unaambiwa utafiti...
Hii nilishawahi kusikia mhubiri 1 wa dini 1 akisema kuwa unapokojoa hata Mwanaume unatakiwa uchuchumae ni dhambi kukojoa umesimama hasa mwanaume!
 
hovyoooooo
Ina maana na sisi tuna mayai km wanawake ?
Labda utafiti wamefanyiwa mashoga tu
 
hahahaa...sidhan kama yetu itatusababishia yafuatayo.
1.Tumbo kuuma.
2.kununa hovyo.
3.kutoka uchafu mwingi.
4. Harufu mbaya.
5. Hatuvai ped.
Namba 4 haihusiani na hedhi bali uchafu tu

No 3 kama ipo basi itakuwa kwa wanaume tu

No 2 kununa ni kisirani cha mtu husika tu

No 1 iko sawa kabisa
 
Jichunguze vizuri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…