Antony Fereji
Member
- Sep 29, 2016
- 46
- 63
Tulivyo wajinga tukipewa vizawadi tutaimbaAisee!! Mm ninaamini 2020 wanachama Wa ccm hawataimba tena huo wimbo Wa ccm mbele kwa mbele
Kaka sijui dada, wataimba tu si kuna kofia, wali, kanga na buku tano?Aisee!! Mm ninaamini 2020 wanachama Wa ccm hawataimba tena huo wimbo Wa ccm mbele kwa mbele
mbona mbunge ni wa upinzani?
SwadaktaNaam
Wanajifanya wajuaji kila kitu, sasa wameingia wa kutokea.Wajinga Hawaishi Yaani Huko Huko Bado Wataipenda Tu.