Kumbe wajapani nao ni wehu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe wajapani nao ni wehu??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Magezi, Mar 20, 2010.

 1. M

  Magezi JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Kwa nini unafikiri kwamba ni "wehu"? Watu wanaabudu kwa mujibu wa mila zao zinazoenda as far back as 1500 years (so you know this is not just any crazy modernist's pervetion) na hawaoni aibu kukubali kwamba binadamu ana reproductive organs wewe unawaita wehu?

  Phallus worship ni kitu kilichokuwa very common all over the world prior to the Christian Era, hakuna continent lolote ambalo halikuwa na Phallus worship ni westernization tu na ideas zake za kuimpose shame on these "private part" ambayo imekuja kuharibu perception yetu.

  Kwa hiyo, hii idea ya kwamba Wajapan ni "wehu" is as myopic or ethnocentric as any idea insulting African traditional culture, such as ancestor worship or inded any Christian prayers.

  You can say it is not scientific, lakini kuwaita Wajapan "wehu" kunaonyesha utovu wa elimu ya historia.Some would even go as far as saying that wewe unayewasema Wajapan "wehu" ndiye uliye "mwehu".
   
 3. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  He hii dunia ya mwisho kweli...! haya na wengne wakija na tamasha kuabudu ku*****itakuwa vipi hapo?
   
 4. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hahaha...itakuwa soo!sijui hili tamasha linaongeza utendaji wa zeutamu?
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  What can u expect from polytheists?
   
 6. Sydney

  Sydney Senior Member

  #6
  Mar 21, 2010
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli sijaamini kama sisi tunaona aibu hata kuiangalia wenzetu wanaabudu, kweli dunia hii ni pana sana! Lakini ndio maisha hayo, sio wehu!
   
Loading...