(1) Wamepigana Vita wakigombania nchi yao ya Ahadi.Buhaya kingdom ukisoma history ndo kingdom pekee ambayo kabla ya wakoroni ilikuwa imefikia hatua y'all feudalism pili nitaifa ambalo lilipigana vita ndo maana ikaitwa vita y'all kagera tatu no taifa linalo kula chakula maana ya ndizi sio nafaka wala mizizi ndo taifa linalopewa chakula toka mbinguni yaani mana(senene)maana hadi Leo Hakuna mtu anaye jua chimbuko la senene hivyo wahaya ni taifa teule
Hakuna fact hapo mkuuBuhaya kingdom ukisoma history ndo kingdom pekee ambayo kabla ya wakoroni ilikuwa imefikia hatua y'all feudalism pili nitaifa ambalo lilipigana vita ndo maana ikaitwa vita y'all kagera tatu no taifa linalo kula chakula maana ya ndizi sio nafaka wala mizizi ndo taifa linalopewa chakula toka mbinguni yaani mana(senene)maana hadi Leo Hakuna mtu anaye jua chimbuko la senene hivyo wahaya ni taifa teule
Ucpanic broHamchoki kuwasema wahaya? Je mtapata faida gani? Pambana na hali yako
Soma Kutoka 6:19, kuna mtu katajwa kwa jina la Mushi, aliyekuwa mjukuu wa Lawi, na baba yake akiitwa Merari.Sasa ukisema hivyo Basi nao kina Mushi niwaisraeli
Hata masai pia lipo kwenye bible ila nadhani ni majina tuSoma Kutoka 6:19, kuna mtu katajwa kwa jina la Mushi, aliyekuwa mjukuu wa Lawi, na baba yake akiitwa Merari.
Hahahahaha nimecheka sana aisee daaah...dah, naweusi wote huo mnajifananisha na wayahudi?
kweli wahaya mnasifa.
dah, naweusi wote huo mnajifananisha na wayahudi?
kweli wahaya mnasifa.
Mimi nadhani si majina tu. Hiyo Mushi na Maasai si kwamba ndiyo mababu wa koo za Mushi na kabila la Maasai kwa mfuatano?Hata masai pia lipo kwenye bible ila nadhani ni majina tu