Kumbe viroba ndio vilikuwa mchawi wa mabadiliko

GODLOVEME

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,643
494
Kwa uchunguzi nilioufanya toka Viroba vipigwe marufuku nchi yetu imechanga mkaa
  • Jana tumeona polisi wakitoa bastola hadharani na kumtisha aliyekuwa waziri wa hababri utamaduni na michezo.
  • Kabla ya hapo tumeona vijana Matamko ambayo yalisisimua nchi na wandishi wa habari kwa umoja wao waliweza kuungana na kutoa tamko la pamoja.
  • Tumeona uvamizi uliofanyika Clouds ili kushurutisha wapenzi wa shilawadu kururishwa clip yao.
  • Mitandao ya kijamii imechangamka
 
Ha haa.. Tangu viroba vipotee nguvu kazi ya taifa imeshuka.. Kuna fundi cherehan mtaani kwetu siku hizi hawezi tena kushona bila stimu...
 
Back
Top Bottom