G7 wakiamua leo kwamba tz ni mwenzao kunakuwa hakuna pingamizi na on the spot inakuwa G8 utakumbuka kuna kipindi hayati rais Mkapa aliteuliwa kuwa mwenyekiti wa Globalization na karibu wake alikuwa rais wa Finland wakati huo sasa jifikirie huyo mzee kwenye hicho kikao alikuwa anaongea nini hasa ukizingatia angalau Finland wanatengeneza Nokia, malori ya SISU Valmet etc sasa sisi tz ukiondoa kula tunda kimasihara tuna nini?Urusi aliingizwa ki'heshima' tu kwa kuwa ana 'nyuklia' vinginevyo wamemsusa 😂 😂 😂
, NWO nknk
