Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,489
- 42,564
Sitasoma tena huu upumbavu wako.Nikiacha upimbi utapata nini
Sitasoma tena huu upumbavu wako.Nikiacha upimbi utapata nini
Acha ushamba kushobokea wanaume, mie na wewe nani alie anza kum quote mwenzake, boya kabisa wewwSitasoma tena huu upumbavu wako.
Kulikuwa na G8. Baada ya Russia kuichukua Ukraine, wakamuondoa Russia na kubakia kuwa G7.G7- ambayo inajumuisha Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani.
Kumbe Urusi haipo kwenye huo mkumbo .
Mbuzi kweli weweSitasoma tena huu upumbavu wako.
Devaluation of (PetroDollar)Russia uchumi wake haifikii hata uchumi wa Jimbo Moja la Texas huko marekani alafu unategemea uione Kwenye kundi la g7?
Utasubiri sana
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
If that's so why are the Europeans Countries are very busy to an underdog's Ukraine-Russia comfict???Russia uchumi wake haifikii hata uchumi wa Jimbo Moja la Texas huko marekani alafu unategemea uione Kwenye kundi la g7?
Utasubiri sana
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
tumia akil 1976 China alikuwa mpumbav tuBas ata China ni nchi ya 2 dunian kiuchumi lakin haipo G7
sasa km hajaomba unataka wamamshobokeeUnapewa facts za wadau umekalia kukaza fuvu tu.
Ushaambiwa Russia aliondolewa 2014 due to Diplomatic conflicts.
Uchumi wa China ni karibu x10 ya uchumi wa Italy lakini China haimo.
Acha kukaza fuvu.
Wewe utakuwa ni mtoto au umekurupuka tu..au hujui mambo yanavyoenda zaidi ya kujitutumua..yaani kweli hujui kuwa Urusi ilitolowe kwenye G7..G8 baada ya kuchukua Crimea??G7- ambayo inajumuisha Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani.
Kumbe Urusi haipo kwenye huo mkumbo .
G7 ni nchi tajiri duniani, tajiri kwa technologia na Viwanda, China ina uchumi mkubwa lakini teknolojia haina, Viwanda vingi vilivyopo China ni vya Marekani na nchi za ulayaSababu si hiyo tu, Mbona CHINA ni ya Pili Kwa Uchumi Mkubwa Duniani na Haipo kwenye G7
Acha kushobokea wanaume panzi weweUnapenda sana mambo ya mashoga vip wanakupumulia watu nini....sema kama free pump?
Pro Russia mnapenda sana itikadi za kishoga, sijui ni laana au nini kinawasumbuaUpinde hao kama upinde ulivyo na rangi saba na ndio maana na wao wajichagua saba
Kwa hiyo kwa kuwa dhahabu ya congo inachukuliwa na mabeberu, inafanya raia wa congo kuwa matajiri ?Russia ndo anawapa malighafi
Ulaya Mashariki kote yale mataifa yaliyokuwa kwenye USSR yapo to barbaric and backward mentally , politically and socially kama mataifa ya Afrika tu.Urusi haina tofauti na mataifa ya kiafrika hata akili yao ya kutawala ni ya kinguvu nguvu(dikteta) kama Afrika.
Ni laanaPro Russia mnapenda sana itikadi za kishoga, sijui ni laana au nini kinawasumbua
Kwanza kigezo cha kuwa G7 sio uchumi mkubwa sababu China na India zina uchumi mkubwa kuliko Ufaransa lakini hazipo G7.Russia uchumi wake haifikii hata uchumi wa Jimbo Moja la Texas huko marekani alafu unategemea uione Kwenye kundi la g7?
Utasubiri sana
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
China je?G7- ambayo inajumuisha Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani.
Kumbe Urusi haipo kwenye huo mkumbo .
Mkuu mbona unapenda sana mambo ya kishoga shoga?Watu wengine bana sijui huwa ni ukilaza au utoto!!! kabla ya hicho kikundi cha mashoga cha G7 kulikua na G8 russia akiwa member wa G8. Walimuondoa kutokana na mgogoro wa kuichukua crimea kimabavu.. alfu jiulize china ana uchumi mkubwa kuliko hivo vinchi vya magharibi lkn kwann hayupo G7? Jibu ni mambo ya kisiasa na ushoga ushoga wao