Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,786
G7- ambayo inajumuisha Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani.
Kumbe Urusi haipo kwenye huo mkumbo .
Kumbe Urusi haipo kwenye huo mkumbo .

Mpuuzi sana huyu Putin , Yaani gas Yote amewapa wapiga deal nchi inabaki masikini .Russia uchumi wake haifikii hata uchumi wa Jimbo Moja la Texas huko marekani alafu unategemea uione Kwenye kundi la g7...
Hata nyie mnayo GAS ingieni sasa huko g kama dili saaanaMpuuzi sana huyu Putin , Yaani gas Yote amewapa wapiga deal nchi inabaki masikini .
Na kutengeneza hayo MACHUMA yake ya Zamani ya kivita . Maanina zake Putin.
Haya kabadili pampers ulaleMpuuzi sana huyu Putin , Yaani gas Yote amewapa wapiga deal nchi inabaki masikini .
Na kutengeneza hayo MACHUMA yake ya Zamani ya kivita . Maanina zake Putin.
Tulia wanaume wamle .Haya kabadili pampers ulale
Wanaume gani wanalia lia kama mbwa kokoTulia wanaume wamle .
Russia ndo anawapa malighafiG7- ambayo inajumuisha Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani.
Kumbe Urusi haipo kwenye huo mkumbo .
Sababu si hiyo tu, Mbona CHINA ni ya Pili Kwa Uchumi Mkubwa Duniani na Haipo kwenye G7Russia uchumi wake haifikii hata uchumi wa Jimbo Moja la Texas huko marekani alafu unategemea uione Kwenye kundi la g7?
Utasubiri sana
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hapana ila wote hao waliotajwa hapo juu wamemuacha mbali mrusi.ivyo vikundi ukiviangalia vizuri vyote vipo NATO unaweza kuamini uchumi wa italia unauzidi wa CHINA?
Hiyo G7 ipo kisiasa zaidi na sio kiuchumi .Hapana ila wote hao waliotajwa hapo juu wamemuacha mbali mrusi.
Urusi haina tofauti na mataifa ya kiafrika hata akili yao ya kutawala ni ya kinguvu nguvu(dikteta) kama Afrika.G7- ambayo inajumuisha Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani.
Kumbe Urusi haipo kwenye huo mkumbo .
Wewe ni 'mshamba' wa Historia na mwenendo wa dunia. Hadi 2014 hakuna kitu kilochoitwa G7 bali ilikuwa ni G8. Mrusi alipoichukua Crimea mwaka 2014, aliondolewa, na ndio ikawa G7.Russia uchumi wake haifikii hata uchumi wa Jimbo Moja la Texas huko marekani alafu unategemea uione Kwenye kundi la g7?
Utasubiri sana
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Urusi aliingizwa ki'heshima' tu kwa kuwa ana 'nyuklia' vinginevyo wamemsusa 😂 😂 😂G7- ambayo inajumuisha Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani.
Kumbe Urusi haipo kwenye huo mkumbo .
We hushangai China na India hazipo unashangaa kutokuwepo kwa urusi?G7- ambayo inajumuisha Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani.
Kumbe Urusi haipo kwenye huo mkumbo .