Kumbe urais unazeesha

hiyo nchi inahitaji umakini kila sekunde kuiongoza, ina "vichaa" si maanishi waliokosa akili bali wenye misimamo tofauti na ajabu ajabu kuliko unavyofikiri, ina maadui kuliko marafiki...
 
Ni zaidi ya ugonjwa moyo huku uwaze mambo ya kiofisi huku uwaze mambo ya kifamilia, huku uwaze mambo ya wananchi wako, huku uwaze usalama wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…