kumbe ulimwengu hauna JUA moja tu

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,446
2,490
kwa muda sasa nimekuwa nawashangaa kwann wanasayansi
watuambie kuna jua moja wakati ukweli kuna jua la afrrika na jua la ulaya.
tofauti yake ni kubwa sana, jua la ulaya wakati wa majira ya baridi
linachomoza magharibi saa 3 asubuhi na kutua saa 8.30 mchana.
kwa hivo jua la ulaya halitoki mashariki na kutua magharibi kama jua la afrika
wakati wa majira ya joto jua la ulaya halitui kabisa kwa hivo hata saa 8 usiku bado jua linakuwa linawaka
kwa wanaokaa kaskazini mwa scandinavia wanajua hili mjiji kama
Tromso Norway na Rovaniemi Finland mji ilio ncha ya artic cricle wanajua hili.Pili jua la Ulaya wakati huu wa spring linawaka sana lakini haliyeyushi hata snow ilioganda linawaka kama mtu kawasha taa yenye mwanga mkali
Hivi mmeshawahi kujiuliza hili? kumbe mwl wangu wa jiografia nae hakujua hili
kwa mlio scandinavia semeni ukweli ili watu waelewe tofauti ya jua la afrika na jua la ulaya na nashangaa kwann wanasayansi hawatuambii juu ya hili
nawasilisha.
hii sio jokes bali ina ukweli mkubwa.
 
Shule gani hiyo ambayo umesoma mwalimu ameshindwa kujibu maswali yako?:thinking:
kwanza kumbuka kwenye jiografia umefundishwa kuwa Jua halizunguki bali dunia ndiyo huzunguka around its axis. Mzunguko huo wa dunia kwenye axis yake na muinuko kidogo (tilt) wa axis hii ndiyo husababisha seasons (yaani winter, summer, spring na autum). Dunia pia imegawanishwa katika north hemisphere na south hemisphere nchi za ulaya zikiwa katika north hemisphere.
Katika kipindi cha summer (May, June na July)
ule muinuko wa axis huifanya north hemisphere kuitazamia jua hivyo kupata mwangaza zaidi kwani mwinuko huu huifanya jua kua juu zaidi, hali hii ni tofauti na south hemisphere katika kipindi hiki kwani wao huwa kwenye winter. Nchi zilizoko katika tropical area yaani kwenye/karibu na equator (mfano Tanzania)madhara haya ya jua hayaonekani kwani majira yanayoonekana zaidi ni kipindi cha mvua au kiangaza. Winter ni sawa na kipindi cha mvua ingawa baridi huifanya kuwa theluji.

Mie sijasomea jiografia kwa upana zaidi ila soma hapa kama utataka ujuzi zaidi: Wikipedia:Seasons
Ila ni kweli kipindi cha summer Finland jua huchelewa kuzama na sehemu nyingine Lapland, Finland jua halizami na kipindi cha winter inaweza kuwa giza siku nzima huko Lapland
 
ni jukwaa la jokes mkuu
hakuna jua zaidi ya moja hii ni kwa fikra za kikomedy zaidi ndio maana mada ikaletwa hili jukwaa
watu watabasamu ama sivo?
jokes part haitendewi haki.... elimu ina mahala pake.. huku nikutanua masos zetu 2.
 
naam upo sawa kabisa la kumbuka hili ni jukwaa la jokes

Shule gani hiyo ambayo umesoma mwalimu ameshindwa kujibu maswali yako?:thinking:
kwanza kumbuka kwenye jiografia umefundishwa kuwa Jua halizunguki bali dunia ndiyo huzunguka around its axis. Mzunguko huo wa dunia kwenye axis yake na muinuko kidogo (tilt) wa axis hii ndiyo husababisha seasons (yaani winter, summer, spring na autum). Dunia pia imegawanishwa katika north hemisphere na south hemisphere nchi za ulaya zikiwa katika north hemisphere.
Katika kipindi cha summer (May, June na July)
ule muinuko wa axis huifanya north hemisphere kuitazamia jua hivyo kupata mwangaza zaidi kwani mwinuko huu huifanya jua kua juu zaidi, hali hii ni tofauti na south hemisphere katika kipindi hiki kwani wao huwa kwenye winter. Nchi zilizoko katika tropical area yaani kwenye/karibu na equator (mfano Tanzania)madhara haya ya jua hayaonekani kwani majira yanayoonekana zaidi ni kipindi cha mvua au kiangaza. Winter ni sawa na kipindi cha mvua ingawa baridi huifanya kuwa theluji.

Mie sijasomea jiografia kwa upana zaidi ila soma hapa kama utataka ujuzi zaidi: Wikipedia:Seasons
Ila ni kweli kipindi cha summer Finland jua huchelewa kuzama na sehemu nyingine Lapland, Finland jua halizami na kipindi cha winter inaweza kuwa giza siku nzima huko Lapland
 
ndio cylu umetoa darasa kubwa huku tukiwa tunacheka vile vile
ndio uzuri wa hili jukwaa stress free
You are not serious!!! yh got punked n hilarious hahaha.. bt well that's me spreading knowledge at least might be useful to someone!
 
noana kila mmoja kaplay part yake alivoweza
galileo ukisoma hiyo site kagundua mengi pia
Hivi kwa mawazo yako kati ya Galileo Galilei, Isack Newton na Archemedes nani ameisaidia Dunia kwa kiwango cha juu zaidi kwa maendeleo?
 
Ni kweli,hata nchi za nickland na timbaland..jua huchomoza magharibi na mashariki kwa pamoja halafu hukutana katikati....hata jua la dodoma na tanga ni tofauti!
 
Jua la Dar linachomoza tofauti ya dk 12 na jua la Kigoma,so hata hapa tz kuna majua mengi tuu,tena nadhani yanaweza fika 7 hivi!ngoja ntamuuliza ticha fulani hivi ana ticha darasa la 3.
 
Jua la Dasirama/Saridalama inawaka kama pasi, je hilo la ulaya nawaka kama furiji? nasikia mfua nanyesha ya BARAVU
 
Back
Top Bottom