Kumbe hawa trafick wakikaa pamoja barabarani wanakuwa kama watoto enheee. Angalia video hii wanavyofanya mchezo barabarani
[video=youtube_share;YGH6K4KblJk]http://youtu.be/YGH6K4KblJk[/video]
Ngoja Mkuu wao aione hii, utasikia wamefukuzwa kazi kwa kufanya masikhara wakati wa kazi na kulidhalilisha jeshi! Na huyu aliyewarekodi lazima atakuwa trafiki police mwenzao kwa jinsi anavyotoa maelezo kwamba ".... mkijiona mtacheka nyie..." Hii ni kutokana na mchezo waliokuwa wakiufanya barabarani wakati wa kazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.