kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,460
- 4,166
Mko salama humu?
Kumbe bana kuna taasisi hazivumi ila zina balaa in terms of maslahi.
Kuna dogo ajira mpya nimebahatika kuona mkataba wake kaajiriwa hapo Tanzania forest services,mshahara ni 2.6m.huyu dogo ni abandoned degree tu ya uhasibu hata cpa hana bado.
Kumbe tumekaririshwa tu kuwa mshahara mzuri uko tra,BOT na Tcra lkn kuna vitaasisi vya umma having majina makubwa ila ni balaa.