Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,842
- 31,076
- Thread starter
- #21
Huyo ni nani ambaye mashavu yamemshuka baada ya Raila kuangukia pua kule Kenya?Ccm wamepigwa Kwa Raira Odinga na Odinga wa Tanzania mashavu yamemshuka Leo.na wakajipanga Kwa Mwakalebera nae kaangukia pua Mwakalebera alizaliwa kukataliwa tu akafuge mbwa auze
Angalia Mkuu usije itwa mchochezi na ukachukuliwa mkojo wako kwa ajili ya kwenda kufanyiwa vipimo.....