Kumbe tatizo la ATMs ni ili waboost Sim Banking!!!

Kumbe tatizo la ATMs ni ili waboost Sim Banking!!!

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Nimetonywa na beste yangu anayefanya kazi makao makuu ya benki ya CRDB, kuwa hizi ATM zimeminywa hasa kwa mida zinapotumika kwa wingi ili kuongeza matumizi Sim Banking. Mwny newz zaidi amwage radhi.
 
Back
Top Bottom