Embu rudia tena,unasema kuwa B-52 Strotofortess Bomber imepitwa na wakati?hii ni miongoni mwa U.S hardware iliyodumu kwa kipindi kirefu kwenye Operation kuliko zana zote za U.S,na mara nyingi sana ina undergo upgrading kulingana na kubadilika kwa mahitaji,na imeongezewa muda wa kufanya shughuli mpaka 2040s. Hii ni miongoni mwa heavy bombers inayoheshimiwa na Marekani,na ghrama yake ni nafuu sana interms of maintainance and operations. Na kutokana na umuhimu wake hili Dege Marekani hajaliuza kwa Nchi nyingene,anayo yeye mwenyewe tuu.
katika ndege zote hatuna B52?
Ivi mabilioni yaliyopo Uswisi hayatoshi kununua B52?
EPA, RADA, Rindmond, Meremeta?????
The B-52 (also B52 or Bifi) cocktail is a layered shot composed of a coffee liqueur (Kahlúa), an Irish cream (Baileys Irish Cream), and a triple sec (Grand Marnier). When prepared properly, the ingredients separate into three distinctly visible layers (due to their relative densities).
B-52 (cocktail) - Wikipedia, the free encyclopedia
baada ya F-117 kudondoshwa kule serbia ikawa decomissioned haitengenezwi tena,hiyo ndoo stealthfighter ya mwanzo kabisa.
B-52 ndege ya kizamani sana,
hamna haja ya kuwa nayo. Kwa kwetu tukipata F - 117, japo teknolojia ya
miaka karibu 20 itatufaa kuingia kwa Kagame mchana kweupe na kuondoka
bila shida.
Embu rudia tena,unasema kuwa B-52 Strotofortess Bomber imepitwa na wakati?hii ni miongoni mwa U.S hardware iliyodumu kwa kipindi kirefu kwenye Operation kuliko zana zote za U.S,na mara nyingi sana ina undergo upgrading kulingana na kubadilika kwa mahitaji,na imeongezewa muda wa kufanya shughuli mpaka 2040s. Hii ni miongoni mwa heavy bombers inayoheshimiwa na Marekani,na ghrama yake ni nafuu sana interms of maintainance and operations. Na kutokana na umuhimu wake hili Dege Marekani hajaliuza kwa Nchi nyingene,anayo yeye mwenyewe tuu.
Boeing B-52 strattofortress is a long range subsonic jet powered strategic bomber,unit cost up to 50 million usd.capable of carrying up to 32,000 kg of weapons.
ngeseeee
hii ni Nighthawk,F-117 single seat ,twin engine ground attack aircraet,cost up to 100 million usd.the first stealth aircraft.mkuu f-117 si ndio black hawk ? Mkuu, kununua machine za rockeed maybe hizi f16 babu.
Mleta uzi nawe, soon utasema hatuna ata ac-130, haaah
tanzania airwings tuna MiG 29 nahisi baaasi.
tatizo ya hii bomber iko very slow in speed,ikipambana na jet fighter supersonic kama sukhoi 27 jetfighter inakua sitting duck.ni boeing yenye teknolojia ya kijeshi kama marekani hawauzi tunaweza kwenda kuchagua malaysia, huko zipo zinabebewa abiria.
Hivi na nyie mfahamishwe kama watoto wadogo,ile sio vita yale ni maonyesho ya kawaida tu sehem ya burudani.
Kwa wale tuliodudhuria maonyesho ya majeshi vitu vile havikuwa vigeni sana.
Hata Korea kila mwaka wanaonyesha silaha zao kwenye maonyehso ila sio mnavyofokiria,ni kwamba hakuna nchi yoyote duniani inaonyesha uwezo wake wa kijeshi.
Hata hiyo Korea yenyewe inayoonyesha ni kwamba lile ni changa la macho,na ndio maana hakuna anaewagusa,anajua ni mbinu za kijesho na za kiusalama wa nchi.
Hivi hatuna Meli wala Nyambizi hata moja ya kivita mbona sikuziona zikipita uwanja wa taifa jana?
Mkuu hao wengine ni akina Asumani mambo valu valuMkuu kwa taarifa yako zile silaha ulizoona jana ni za miaka kumi na ushee iliyopita. Kuna vitu kaka viko sirini vinasubiri jirani alete ya fya fya fye fye fye. Hatungeweza kuonyesha uwezo wetu kamili mbele ya maadui zetu. Tz tumejipanga kivita mkuu.