Kumbe talaka ni chache hivi....?!

Dah!
 
Nashukuru Mungu siko huko aidha sifungwi na kitu chochote.... single grandma. natafuna muwa kwa raha zangu till the day I kick the bucket.

Kwa wenye commitment uvumilivu unawahusu the. Ila mie ningeachika aiseeh.
Good for you Kasie
 
Mkuu wengi hawana muda wa kwenda kusajili talaka. Na hii Serikali inavyopenda pesa kama pochi watakwambia kusajili talaka elfu 50 au hata zaidi. Na kama ujuavyo vyuma vimekaza mtindo mmoja.

wabongo tuna mazoea ya kufanya mambo kienyeji....ndio maana talaka nyingi hazisajiliwi RITA
na pili kwa wale Wakristo ambao process ya talaka ni ndefuuu....wanamua kutengana tu.
 
Mbona mawazo ya kizungu na wew negro!!!?
 
Mkuu, tatizo watu hawaendi kuhalalisha hizo talaka. Utakuta wanalala vyumba tofauti miaka zaidi ya kumi. Wengine wala hawaishi pamoja kabisa na kila ana mwingine.
 
Tunaweza kusema nyingi haziwi reported lakini sio nyingi.

Kuna nchi kuna siku ya Talaka.
 
Ndio hizo zisizosajiliwa RITA. Hazitambuliki kwa maana ingine.
 
Wapi huko? Huwa wanaazimishaje?
kwa malkia..

Family Enquiries nyingi zilikuwa zinajitokeza katikati ya kipindi kati ya dec-Jan.

Na ndipo kwa tafiti talaka nyingi zinapotoka. 8Jan is Divorce day.

Wanaadhimisha kwa kureslove cases tofauti,kukamilisha talaka, ushauri n.k
 
Huko ndio talaka zilipozaliwa!
 
Hapana kwakweli tutaongeza kizazi cha mashoga na wasagaji. Ndoa ni kitu muhimu sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…