Kumbe talaka ni chache hivi....?!

Lazima utakua uliachika aiseeee
 
Sababu hujabahatika kuolewa ndio maana unasema hivyo! Si ajabu hata mtoto huna ukiangalia umri ushafika 50+
 
Nimekaa mahakamani,Kwa muda mfupi (5 weeks)nimeshuhudia kesi za Talaka 16,hazisajiliwi tu basi!
 
Nimekaa mahakamani,Kwa muda mfupi (5 weeks)nimeshuhudia kesi za Talaka 16,hazisajiliwi tu basi!
Hivi kusajili talaka ni wale waliopeana talaka wanaenda RITA?
 
Ndoa nyingi zinavunjika na hawadai talaka mahakamani kuepuka usumbufu. Ukiona mwanamke anadai talaka ujue amepata wa kumwoa. Wanaume mara chache kudai talaka mahakamani.
 
Well said dear.
 
Hapa umejiangalia wewe, vipi watoto je hawana haki ya kuishi na baba na mama kama wewe ulivyolelewa(i guess) ?

Kiukweli ni mvurugano hapo ndo huwa naona ni makubaliano kati ya wawili. Kuwa wakiamua kuzaa basi waheshimu makubaliano kuwa no matter what wanalea mtoto pamoja hata kama hisia zao zitakata. Laah mnakuwa na mahusiano yasiyo kuwa na mtoto yaani hamzai ili mkichokana kila mtu anasepa.

Anyways it's hard and complicated at the same time. Ndo maana viongozi wa dini wanasema ndoa ni sacrament..... moja ya nguzo muhimu hasa kwenye ukristo.

To be honest am selfish.... na jinsi nnavozeeka ndo kabisaaa hali inazidi kuongezeka ya u selfish.
 
Ndoa nyingi talaka huwa zimeshatoka ila kinachokosekana ni sign tu
Maana talaka si lazima iandikwe kwa kalam hata kwa kutamka tu yaweza kua ni talaka ambayo RITA hawaitambui
 
Yaani wewe kama upo kichwani mwangu. Kusumbuana naonaga shida Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una hoja, ila hoja yako imefunikwa na ubinafsi. Hao watoto unadhani wanafurahia kuishi na mzazi mmoja?
 
Una hoja, ila hoja yako imefunikwa na ubinafsi. Hao watoto unadhani wanafurahia kuishi na mzazi mmoja?

Ni.kweli ubinafsi umenigubika na ndo nazeeka nao. Kwenye watoto mie naona wanaotaka kuzaa wakubaliane hakuna kutengana hadi watoto wakue. Vinginevyo mnakuwa na mahusiano bila kuzaa, hapo kwenye watoto ndo kuvumiliana ambapo mie na uzee huu naukosa.
 
Uzee huo kwa kutafunana tu raha sana, without strings attached. Ila ukishaleta watoto unatakiwa usijifikirie, wafikirie wao na furaha yao kwanza.

Kwa wale wasiotaka kuzaa, furahieni mahusiano bila ndoa, ila ukishaleta mtoto ni heri kufanya sacrifice kwa ajili yake.
 
Nashukuru Mungu siko huko aidha sifungwi na kitu chochote.... single grandma. natafuna muwa kwa raha zangu till the day I kick the bucket.

Kwa wenye commitment uvumilivu unawahusu the. Ila mie ningeachika aiseeh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…