Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,732
Eeh, sijakosea. Tabata kuna beach nzuri such that haina haja ya kwenda Coco tena. Baada ya hizi mvua za mafuriko kwisha, 'Mto Tabata' umetengeneza 'fukwe' nzuri zenye mchanga kama beach za bahari. Leo nilikwenda pande hizo kupunga upepo. Nikalala kwenye kamchanga hadi raha! Yani ukimpigia binti mistari maeneo haya, hachomoi!
Karibuni Tabata, kwetu pazuri Tabata!
Karibuni Tabata, kwetu pazuri Tabata!