bush crazy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 773
- 1,087
In late 2000's nilipata kuishi Sumbawanga. Napafahamu kwa kiasi chake. Sijaelewa mtoa mada anapopa-term SBA kuwa ni " pa kishamba", amepafananisha na mahali gani au ametumia vigezo gani.
Binafsi kwa kipindi nilichoishi kule, nilipaona ni mahali pazuri ambako Mji umepangiliwa vizuri, hali ya hewa nzuri, upatikanaji wa vyakula "natural" ni rahisi na wa bei nafuu sana. Halikadhalika maisha ya kule si magumu kulinganisha na Miji mingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawapongeza Watumishi wa Ardhi waliofanya kazi Sumbawanga kati ya mwaka 1980 mpaka 2006 kwa kuupanga Mji walipima viwanja maeneo mbalimbali ya Mji kama vile Kristo Mfalme, Kisiwani, Malangali, Hali ya Hewa , Makutano Kizwite, Regional block Jangwani Bangwe na Majengo na Katandala Hongereni sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuwepo siku mbili nimepamaliza pote kupafahamu kwa kutumia baiskeli tu! ila barabara kutokea tunduma ya ukweli balaa(international)
wamekuja na mapovu yao.Subiria mapovu mkuu kutoka kwa wenye mkoa wao
kwenu wapiNimekuwepo siku mbili nimepamaliza pote kupafahamu kwa kutumia baiskeli tu! ila barabara kutokea tunduma ya ukweli balaa(international)
zimbabwe mkuu!kwenu wapi
wapo ila inaonyesha washamba!
umepangika vzr! kama unafanana na Dodoma kwa ishu ya relief na road structureSidhani kama kuna mji uliopangika kama sumbawanga ktk nchi hii
Mi mapovu kwa post ya kijinga tu sipajui mm ni mstieglar wa mbweraSubiria mapovu mkuu kutoka kwa wenye mkoa wao
Hata Pinda amehama huko. Yupo Dodoma analima zabibu!!!
Nipo hapa afu aache sisi .. Wazee wakiingia maabAra atajikuta sumbawanga hatoki .. Ataoa huko huko .. Swanga raha san
Wakiingia maabara Leo kesho utakuja simulia hapawamekuja na mapovu yao.