Kumbe SOSOLISO ni MDHEE?

Last edited by a moderator:
Aisee Sosoliso, huyu Shemeji yetu kwa kweli nimemuheshimu maana anaonekana mdogo ila ana uwezo wake.

Mie mwenyewe sidhani kama naweza kunyenyua juu uzito sawa na huo mzigo.

Ila na wewe Sosoliso siyo mbaya kabisa kwa kubeba maana una hadi style za kiajabu ajabu.


Ha ha ha Paloma.. nilikuambia usimdharau shemeji yako.. wembamba wa reli tu huo.. Ananibeba sana mie huyo..
 
Sikonge hayo ni mazoezi ya kutafuta ile appetite.. Najua huna ujanja wa kupata picha za mipambano yenyewe.. Maana ni balaa.. Paloma asingeamini..
 
Last edited by a moderator:
duh! aisee.....ngoja nichukue mazoezi...........maana namie napendaga vipande kama wewe!
nikishakuwa fiti nije love connect nitafute....kigezo ni kipande povu tupu.............hehehehehee
big up sosoliso:rockon:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…