Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 21,854
- 26,093
Ha ha ha just a little laughs...!ENZI ZA MWENDAZAKE
Hiyo TV station ifungiwe kwa upotoshaji , bwawa tunajenga kwa fedha za ndani. Na ole kwa gazeti lolote litakalotoa picha za kukabidhiwa mkopo huu FONDIPEJI
jamaa alikuwa na vituko sana.
::Alikuwa anaweza akawa ajapeleka fedha kwa mkandarasi,lakini akifika hapo anakaripia,ooh serekali imeshakupa fedha zote za mradi nabhamjamaliza mradi wananchi hawa wanateseka bule, ulitakiwa ukae kimya usijibu lolote na useme tutautekeleza nankuumaliza ndani ya miezi 6 mheshimiwa,baada ya wiki unaingiziwa hela kiasi unasonhesha....!
#Mitun_chakrabootha