Kumbe siku hizi tunakopeshwa!!

Kumbe siku hizi tunakopeshwa!!

Kuna mradi sijui wa kufua umeme huko kwenye mto,kupitia taarifa ya habari pendwa nimeona tumepewa mkopo,nategemea mto huu mradi wake utaongeza umeme wa uhakika ukizangatia fedha yenyewe ya mkopo
ENZI ZA MWENDAZAKE
Hiyo TV station ifungiwe kwa upotoshaji , bwawa tunajenga kwa fedha za ndani. Na ole kwa gazeti lolote litakalotoa picha za kukabidhiwa mkopo huu FONDIPEJI
 
Kuna mradi sijui wa kufua umeme huko kwenye mto,kupitia taarifa ya habari pendwa nimeona tumepewa mkopo,nategemea mto huu mradi wake utaongeza umeme wa uhakika ukizangatia fedha yenyewe ya mkopo
Kukopa si dhambi kama ni kwa ajili ya maendeleo yetu wenyewe. Dhambi ni kukopa zikaingia mifukoni mwa watu kwa matumizi binafsi au kulipana mishahara wakati mkopo ni kwa ajili ya maendeleo ya Watanzania wapendwa.
 
Watu wakisikia pesa za ndani wanashangaa, ukweli ni kwamba pesa tunazoendeshea miradi ni pesa zetu za ndani wala siyo msaada. Mkopo ni pesa yako ndiyo maana inarudi na riba. Msaada ama grant ndiyo tunaita pesa ya wafadhiri.
 
  • Thanks
Reactions: BRB
Mkuu unasahau tuli donate mahindi, vyandarua vya mbu na mablanketi kwa ndugu zetu wa Zimbabwe na Malawi walipopigwa na kimbunga kama sijakosea?
Sifa za kijinga. Hospitali zako hazina dawa wewe kwa kutaka sifa unajifanya dona kantri
 
6 years ago I think you were outside of the country mkuu,miradi mingi ilikuwa inatekelezwa kwa fedha zetu wenyewe,misaada ilikuwa michache nadhani hata huu wa mto ni mmoja wapo
Hakuna cha "fedha zetu wenyewe" ulikuwa wongo mtupu!!
Deni la taifa limekua kwa kiwango cha juu sana.
 
Kuna mradi sijui wa kufua umeme huko kwenye mto,kupitia taarifa ya habari pendwa nimeona tumepewa mkopo,nategemea mto huu mradi wake utaongeza umeme wa uhakika ukizangatia fedha yenyewe ya mkopo
Maskini Tanzania imeanza dumbukia katika ufisadi tena. Bei ya unit ya umeme haitashuka kama ilivyo tazamiwa!
 
Back
Top Bottom