Kumbe roho inauma.....

Kumbe roho inauma.....

Ayusema

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
549
Reaction score
189
Habari zenu Wana JF...

Nilikuwa na uhusiano wa kimapenzi na dem moja hivi ana kazi nzuri pesa ya kula kwake haisumbui, mwanzoni mapenzi yalikuwa moto moto, anytym nikimhitaji anakuja, hata nikienda kwake kumsalimu nikimwambia twende wote kwangu alikuwa hakatai,tulienda hivo takribani miezi minne,ghafla akachange ukimwambia aje anasema yupo bize na kazi,akawa anakuja akimiss dushelele tu,siku kanipigia simu ananiuliza uko wapi? nikamwambia nipo gheto ghafla kaja halafu siku ya pili nilikuwa na paper nilikausha kimya nipo bize nakula msuli kiana akamind kuwa kwann sijampa dushelele akasepa ndo ikawa kamind nikimuuliza anasema eti yupo bize.

Nikamsema sana kuwa kwa kuwa sina kitu ndo analeta pozi yakamuingia akaanza kuja tena.

Last year mwezi wa tisa akaanza pozi ananipigia simu anaongea vitu ambavyo sivielewi mwisho wa siku akasema mie na yeye basi nikimuuliza why? hasemi sababu.

Ikawa kimya hakuna kuonana kila mmoja na yake,nilikuwa na simu zake mbili Iphone ilikuwa na lock nikamtolea na Androids,akadai iphone yake nikampa hii Androids ikabaki.

Meanwhile sikuwa na kazi ndo nimemaliza chuo tu, sikutaka aninyanyase kwa ajili ya pesa zake nikashika hamsini zangu na kufanya yangu, wadogo zake wakiuliza shemu yuko wapi anawambia kwake hamkujui mfuateni.

Juzi juzi mdogo ake kanambia dada ake ana bwana mwingine anafanya kazi NMB.

Mie nikamwambia ampe hongera,nika test validity nikamtext hivi "Mungu akijaalia mwezi wa nane mwaka huu ntakuwa baba" akajibu "Mungu akukuzie" then fasta akaja hewani sikupokea simu yake akanitxt naomba ile simu yangu nyingine.. nikamwambia ile simu ilikuwa mbovu na wajua hilo haitumiki akasema anaihitaji ni simu ya kazini, bila hiyana wala kinyongo nikampa simu yake..

Najiuliza mambo haya bado yapo mkiachana unadai vyako? je na mie ni dai vyangu? au roho yauma kusikia nimepiga one step ahead?
 
Habari zenu Wana JF...
Nilikuwa na uhusiano wa kimapenzi na dem moja hivi...ana kazi nzuri pesa ya kula kwake haisumbui.. mwanzoni mapenzi yalikuwa moto moto... anytym nikimhitaji anakuja.. hata nikienda kwake kumsalimu nikimwambia twende wote kwangu alikuwa hakatai... tulienda hivo takribani miezi minne.. ghafla akachange ukimwambia aje anasema yupo bize na kazi.. akawa anakuja akimiss dushelele tu... siku kanipigia simu ananiuliza uko wapi? nikamwambia nipo gheto ghafla kaja halafu siku ya pili nilikuwa na paper nilikausha kimya nipo bize nakula msuli kiana akamind kuwa kwann sijampa dushelele akasepa ndo ikawa kamind nikimuuliza anasema eti yupo bize... Nikamsema sana kuwa kwa kuwa sina kitu ndo analeta pozi yakamuingia akaanza kuja tena.....
last year mwezi wa tisa akaanza pozi ananipigia simu anaongea vitu ambavyo sivielewi mwisho wa siku akasema mie na yeye basi nikimuuliza why? hasemi sababu.. ikawa kimya hakuna kuonana kila mmoja na yake... nilikuwa na simu zake mbili Iphone ilikuwa na lock nikamtolea na Androids. akadai iphone yake nikampa hii Androids ikabaki.....meanwhile sikuwa na kazi ndo nimemaliza chuo tu.. sikutaka aninyanyase kwa ajili ya pesa zake nikashika hamsini zangu na kufanya yangu.. wadogo zake wakiuliza shem yuko wapi anawambia kwake hamkujui mfuateni.
Juzi juzi mdogo ake kanambia dada ake ana bwana mwingine anafanya kazi NMB.. Mie nikamwambia ampe hongera... nika test validity nikamtext hivi "Mungu akijaalia mwezi wa nane mwaka huu ntakuwa baba" akajibu "Mungu akukuzie" then fasta akaja hewani sikupokea simu yake akanitxt naomba ile simu yangu nyingine.. nikamwambia ile simu ilikuwa mbovu na wajua hilo haitumiki akasema anaihitaji ni simu ya kazini.. bila hiyana wala kinyongo nikampa simu yake..

Najiuliza mambo haya bado yapo mkiachana unadai vyako? je na mie ni dai vyangu??? au roho yauma kusikia nimepiga one step ahead.???

This is your private business. Hayatuhusu kabisa. Kama huna mada ya maana, tulia kimya. Soma michango ya wenzako.
 
Kikitoka kimetoka iwe zawadi n.k, akili yake inampa anakukomoa, usibishane nae kama kuna kingine chochote cha kwake wewe mrudishie

Kuna watu wana kawaida hiyo anafikiri huwezi ishi bila ya yeye
 
This is your private business. Hayatuhusu kabisa. Kama huna mada ya maana, tulia kimya. Soma michango ya wenzako.

Kama hayakuhusu ungekaa kimya mbona umekuja fasta...sio kusema uonekane umesema Mwanamalundi
 
Last edited by a moderator:
PALEASEEEEEEEEEEEEEEEEE! ONE STEP??????????????? Are you kidding me? With your broe a.ss YOU CAN FATHER THE ALL NATION ALL SHE CARES! RUDISHA ANDROID YA WATU usizuge zuge.

One step ahead ungekuwa umejenga maybe, au umefanya ECONOMIC dvp sio kuzaa bil plan.
 
watu wasio na kizazi utawajua tu,,, chezea abortion kede kede weye!! maisha tu, lea hata wa nduguyo huko mbeleni,, ama adopt!! he is going to be a father for all he cares, stick it in your blow-hole perv!!
 
ha ha ha ha mdai vyako one step ahead ya kuwa baba ... ulikosea ungeenda kumnunulia mpya usimrudishie ile mbovu
 
watu wasio na kizazi utawajua tu,,, chezea abortion kede kede weye!! maisha tu, lea hata wa nduguyo huko mbeleni,, ama adopt!! he is going to be a father for all he cares, stick it in your blow-hole perv!!

HAHAHAAAAAAAAAAAAAAA! A BROKE DADY! WHAT A FATE FOR THE KID! I pity the poor soul! Mimi nina kizazi cha kutosha sanaa sema SIWEZI LETA MTOTO OVYO OVYO DUNIANI NIMTESE! UZAZI WA MPANGO NDO MCHEZO WA SASA.
 
Mkuu kama bado unampenda kambembeleze tu, life is short.
If u really have moved on, why does it bother u to give her stuff back?
Why would u want to keep her stuff in the first place? Can't u buy ur own phone?
Halafu inaonesha kakulea sana kwenye huo uhusiano(unang'ang'ania stuff zake) na ndo maana kakufanyia hivyo. Kwa sababu kakulea weee, mwishowe kakutana na wanaoweza kumlea.
Women enjoy that-na wala si kwa sababu wanahitaji hizo pesa, basi tu sometimes the nature come calling.
 
PALEASEEEEEEEEEEEEEEEEE! ONE STEP??????????????? Are you kidding me? With your broe a.ss YOU CAN FATHER THE ALL NATION ALL SHE CARES! RUDISHA ANDROID YA WATU usizuge zuge.

One step ahead ungekuwa umejenga maybe, au umefanya ECONOMIC dvp sio kuzaa bil plan.

Haaha,,Monetarist,,yani wee kila kitu unawaza from financial perspective!!!,,,Hujambo lakini?
 
Mkuu kama bado unampenda kambembeleze tu, life is short.
If u really have moved on, why does it bother u to give her stuff back?
Why would u want to keep her stuff in the first place? Can't u buy ur own phone?
Halafu inaonesha kakulea sana kwenye huo uhusiano(unang'ang'ania stuff zake) na ndo maana kakufanyia hivyo. Kwa sababu kakulea weee, mwishowe kakutana na wanaoweza kumlea.
Women enjoy that-na wala si kwa sababu wanahitaji hizo pesa, basi tu sometimes the nature come calling.

hivi alieandika huu uzi ndio mwanaume au ndio huyo mwenzake, mi imenichanganya
 
PALEASEEEEEEEEEEEEEEEEE! ONE STEP??????????????? Are you kidding me? With your broe a.ss YOU CAN FATHER THE ALL NATION ALL SHE CARES! RUDISHA ANDROID YA WATU usizuge zuge.

One step ahead ungekuwa umejenga maybe, au umefanya ECONOMIC dvp sio kuzaa bil plan.

Nshampa vyote vyake..... je nimdai vyangu???
 
Mkuu kama bado unampenda kambembeleze tu, life is short.
If u really have moved on, why does it bother u to give her stuff back?
Why would u want to keep her stuff in the first place? Can't u buy ur own phone?
Halafu inaonesha kakulea sana kwenye huo uhusiano(unang'ang'ania stuff zake) na ndo maana kakufanyia hivyo. Kwa sababu kakulea weee, mwishowe kakutana na wanaoweza kumlea.
Women enjoy that-na wala si kwa sababu wanahitaji hizo pesa, basi tu sometimes the nature come calling.

Nimempa staff zake zote... je na mie nidai staff zangu?? for now nina mtu ambaye naenjoy PetCash
 
Last edited by a moderator:
Nshampa vyake vyote.... je na mie nidai vyangu????

Udai vyako vipi tena?? na umesema ulikuwa hauna kitu. ulikuwa umeolewa wewe, sasa shukuru ndoa yako imeisha na wew utafute vyako umringishie. huo ndio uchungu wa kula hela ya wadada
 
PALEASEEEEEEEEEEEEEEEEE! ONE STEP??????????????? Are you kidding me? With your broe a.ss YOU CAN FATHER THE ALL NATION ALL SHE CARES! RUDISHA ANDROID YA WATU usizuge zuge.

One step ahead ungekuwa umejenga maybe, au umefanya ECONOMIC dvp sio kuzaa bil plan.

To me ni zaidi ya step compared na nilipokuwepo before... nina plan zangu... u cant compare plan zako na zangu..
 
Back
Top Bottom