Kumbe roho inauma.....

Kumbe roho inauma.....

Mwanamakundi, hebu jiulize, hicho cha kudai kakitoa wapi wkt ameeleza alikuwa chuo na kazi hana!! And you are right, it is his business

Haaa haaa kumbe kuna watu vichwa vyao vigumu kuelewa....nway hope hujaelewa mwanafyale try again later
 
Last edited by a moderator:
Believe it
 

Attachments

  • 1395682235514.jpg
    1395682235514.jpg
    9.2 KB · Views: 210
mwanaume mwenzio alimnunulia wewe ukapewa utumie kwa muda...mwenye chake kaja anadai
 
mwanaume mwenzio alimnunulia wewe ukapewa utumie kwa muda...mwenye chake kaja anadai Lovebird sikupewa nitumie hizo simu iphone ilikuwa na lock na Android network na zote nilisolve problems kumbe hujaelewa ila umekurupuka.....
 
Last edited by a moderator:
Sasa wakati ulikua huna kitu utamdai nini? Au mapenzi mlokua mnafanya wote? Au ebu viandike alivyokupa wewe na ulivyo mpa wewe, mwanamme kweli haongelei kudai vyake, au bado unataka arudi akurudishie cm zake?
Jifunze kukinao mtoto wa kiume umejitia bei isokua yako kakuchoka na nipenipe zako sema na roho yako,staki mwenzie basi.....
 
Mwanamakundi, hebu jiulize, hicho cha kudai kakitoa wapi wkt ameeleza alikuwa chuo na kazi hana!! And you are right, it is his business

Haaa haaa kumbe kuna watu vichwa vyao vigumu kuelewa....nway hope hujaelewa mwanafyale try again later

Labda adai dushelele yake aliyompa
 
haaa haaaa mie naenda race mwenyewe... asa mbona anaumia na kuwa mkali kwa each step ambayo na move??? viol
we mwenyewe umemwambia unataka kuoa b'se unampenda sema alikuacha bhana kuwa wazi
 
Habari zenu Wana JF...

Nilikuwa na uhusiano wa kimapenzi na dem moja hivi ana kazi nzuri pesa ya kula kwake haisumbui, mwanzoni mapenzi yalikuwa moto moto, anytym nikimhitaji anakuja, hata nikienda kwake kumsalimu nikimwambia twende wote kwangu alikuwa hakatai,tulienda hivo takribani miezi minne,ghafla akachange ukimwambia aje anasema yupo bize na kazi,akawa anakuja akimiss dushelele tu,siku kanipigia simu ananiuliza uko wapi? nikamwambia nipo gheto ghafla kaja halafu siku ya pili nilikuwa na paper nilikausha kimya nipo bize nakula msuli kiana akamind kuwa kwann sijampa dushelele akasepa ndo ikawa kamind nikimuuliza anasema eti yupo bize.

Nikamsema sana kuwa kwa kuwa sina kitu ndo analeta pozi yakamuingia akaanza kuja tena.

Last year mwezi wa tisa akaanza pozi ananipigia simu anaongea vitu ambavyo sivielewi mwisho wa siku akasema mie na yeye basi nikimuuliza why? hasemi sababu.

Ikawa kimya hakuna kuonana kila mmoja na yake,nilikuwa na simu zake mbili Iphone ilikuwa na lock nikamtolea na Androids,akadai iphone yake nikampa hii Androids ikabaki.

Meanwhile sikuwa na kazi ndo nimemaliza chuo tu, sikutaka aninyanyase kwa ajili ya pesa zake nikashika hamsini zangu na kufanya yangu, wadogo zake wakiuliza shemu yuko wapi anawambia kwake hamkujui mfuateni.

Juzi juzi mdogo ake kanambia dada ake ana bwana mwingine anafanya kazi NMB.

Mie nikamwambia ampe hongera,nika test validity nikamtext hivi "Mungu akijaalia mwezi wa nane mwaka huu ntakuwa baba" akajibu "Mungu akukuzie" then fasta akaja hewani sikupokea simu yake akanitxt naomba ile simu yangu nyingine.. nikamwambia ile simu ilikuwa mbovu na wajua hilo haitumiki akasema anaihitaji ni simu ya kazini, bila hiyana wala kinyongo nikampa simu yake..

Najiuliza mambo haya bado yapo mkiachana unadai vyako? je na mie ni dai vyangu? au roho yauma kusikia nimepiga one step ahead?

Mkuu haya mm yalishanikuta kwa bahati mnzuri alipotaka vitu vyake ckung'ang'ania nikampa kila hamsini zake miezi michache baadae akaja akaniomba samahani lkn alisha chelewa nafasi ilishajaa. so we mpe kila kitu ipo cku......
 
Mkuu kama bado unampenda kambembeleze tu, life is short.
If u really have moved on, why does it bother u to give her stuff back?
Why would u want to keep her stuff in the first place? Can't u buy ur own phone?
Halafu inaonesha kakulea sana kwenye huo uhusiano(unang'ang'ania stuff zake) na ndo maana kakufanyia hivyo. Kwa sababu kakulea weee, mwishowe kakutana na wanaoweza kumlea.
Women enjoy that-na wala si kwa sababu wanahitaji hizo pesa, basi tu sometimes the nature come calling.

Excellent! You said it very well "nature come calling" !
 
Udai vyako vipi tena?? na umesema ulikuwa hauna kitu. ulikuwa umeolewa wewe, sasa shukuru ndoa yako imeisha na wew utafute vyako umringishie. huo ndio uchungu wa kula hela ya wadada

Hahahahaaaaa atiiii "ameolewa" God forbid!
 
Dem ndio alokuwa muitaji kwa uyo jamaa kwa iyo kumshauli akabembeleze ni kazi bure ,uyo dem itakuwa kapata chalii mwengine ambaye anampenda zaidi,WAZO LANGU
 
Nimempa staff zake zote... je na mie nidai staff zangu?? for now nina mtu ambaye naenjoy PetCash

Alikuwa na kampuni kiasi kwamba staff wake alikuachia? mrudishie staff wake wakamfanyie kazi zake bana, tena na staff bus lake umrudishie pia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom