Udai vyako vipi tena?? na umesema ulikuwa hauna kitu. ulikuwa umeolewa wewe, sasa shukuru ndoa yako imeisha na wew utafute vyako umringishie. huo ndio uchungu wa kula hela ya wadada
inavyoonyesha we ndo ulikuwa unamwumiza kichwa mtoto wa watu
Haaaa haaaa haaa negative perception pole sana bwana @daud omar nahisi hujaelewa......
Nshampa vyote vyake..... je nimdai vyangu???
Nshampa vyake vyote.... je na mie nidai vyangu???? Surprise
..when it's over, do not turn your back, do not demand anything from her!
all you can do is to cherish the time you spent with her, take all positives and amend where you went wrong...
na wote tuseme Amen
haaa haaaa mie naenda race mwenyewe... asa mbona anaumia na kuwa mkali kwa each step ambayo na move??? viol
Udai vyako vipi tena?? na umesema ulikuwa hauna kitu. ulikuwa umeolewa wewe, sasa shukuru ndoa yako imeisha na wew utafute vyako umringishie. huo ndio uchungu wa kula hela ya wadada
Mwanamakundi, hebu jiulize, hicho cha kudai kakitoa wapi wkt ameeleza alikuwa chuo na kazi hana!! And you are right, it is his businessThis is your private business. Hayatuhusu kabisa. Kama huna mada ya maana, tulia kimya. Soma michango ya wenzako.