Kumbe richmond haikuanzia tz au...? Ya fisadi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe richmond haikuanzia tz au...? Ya fisadi...

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Original Pastor, Nov 2, 2009.

 1. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  msaada wana JF nimesearch maeneo fulani nimeona Hiii attachment sasa sijui ndo ni mmiliki mmoja kwani najiuliza maswali sipati jibu.... kupitia kwenu nitapata jibu please........

  ""The alleged gang rape of a 15-year-old girl on the campus of Richmond High School in Northern California while 10 or more witnesses, most of them students, looked on has sparked familiar questions: "Why are our kids so messed up?" "Why didn't these students try to stop the crime?" "What's happening in our schools?""
   

  Attached Files:

 2. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #2
  Nov 3, 2009
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Huo ubakaji wa Richmond High School sidhani kama una uhusiano na Kampuni ya Richmond. Hawa ni wanafunzi waliombaka msichana,wakati tafrija ya shule ilipokuwa inaendelea,kwa saa mbili na nusu,ubakaji umetokea. Watu kumi walioshukiwa kumbaka yule msichana wamekamatwa,ingawa wawili au watatu wameachiwa,kwa vile''ushahidi hautoshi kwamba walishiriki.'' Halafu walikuwepo watu kama ishirini ambao walishuhudia,lakini hawakutoa taarifa,au walishangilia,au walichukua picha na cell phone.
   
 3. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  ndugu yangu mbona unakua kama limbukeni? Mbona kichwa cha habari hakiendani na habari yenyewe?
   
 4. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wande mimi si maanishi habari nafikisha ujumbe tuujadili wewe usiwe kama kichwa cha panzi nauliza hivi Kumbe richmond haikuanzia tz au...? Ya fisadi... kwani sihusiki na habari na copy Richmiond na Richmond ya hapa kwetu Bongo okey sasa umeelewa kama unataka Habari kamili nenda CNN breaking news ok tumia akili sawa??
   
Loading...