Mtanzania2020
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 1,029
- 2,304
Thread 'Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Uganda' Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na UgandaView attachment 3500822
Kuna taarifa ya muda mrefu kwamba Museven ana shamba la Ng'ombe ( ranch ) ndani ya Tanzania kwenye maeneo hayo ni shamba kubwa sana
inaonekana ameingia Tamaa anataka kuchukua eneo ili hao ng'ombe wake wawe uganda
Kuingia kwa hili jeshi sioni tena JWTZ wakaweza pambana na kuwatoa maana vifaa walivyoongia navyo ni mpaka kudongua ndege kama ukisoma ile report ya ndugu yetu kutoka uganda
sasa inaezekana vipi watu walikuwa wanakuja kusaidia maandamano wakaje na vifaa vya kudungua ndege?
tuna uhakika gani mpaka sasa wajaweka mabomu kwenye majengo muhimu kama tishio dhidi yetu tukitaka kupambana nao maana wamezunguka Dar hapo umeme umekiwa umezimwa na internet hakuna ina maana hakuna CCTV wala communication nyingine walizima mpaka simu za kawaida
ukishambua vizuri unaona kabisa tumeshaingizwa mjini, na taarifa ile inasema wamejenga kambi ya waya hapo kagera
wasichosema je wanakwenda kufukuza ndugu zetu kuondoka au wanawachukua kuwa waganda
Hii ni issue ile ile ambayo Watanzania tulimwaga damu kupambana na Iddi Amini leo tuna wageni wanaongoza nchi wametuuza
Ndio maana mimi binafsi kwa sasa ukiniuliza kuhusu huu Muungano nitasema hapana kila mtu aendelee na maisha yake bila Muungano na kila mtu arudi kwao
it is enough
Kutawaliwa na mgeni ni janga.Hii ni issue ile ile ambayo Watanzania tulimwaga damu kupambana na Iddi Amini leo tuna wageni wanaongoza nchi wametuuza
Jeshi lilikuwepo wakati wa jk na jpm tu, sisasa zimekuja ingizwa kwenye hizi taasis zimefifisha uwezo wakeKama hili lina ukweli basi hatuna jeshi tuna kikundi cha vigodoro km vile vya mbagala
Unajuaje kama na nasisi tunataka kuwa UG.View attachment 3500822
Kuna taarifa ya muda mrefu kwamba Museven ana shamba la Ng'ombe ( ranch ) ndani ya Tanzania kwenye maeneo hayo ni shamba kubwa sana
inaonekana ameingia Tamaa anataka kuchukua eneo ili hao ng'ombe wake wawe uganda
Kuingia kwa hili jeshi sioni tena JWTZ wakaweza pambana na kuwatoa maana vifaa walivyoongia navyo ni mpaka kudongua ndege kama ukisoma ile report ya ndugu yetu kutoka uganda
sasa inaezekana vipi watu walikuwa wanakuja kusaidia maandamano wakaje na vifaa vya kudungua ndege?
tuna uhakika gani mpaka sasa wajaweka mabomu kwenye majengo muhimu kama tishio dhidi yetu tukitaka kupambana nao maana wamezunguka Dar hapo umeme umekiwa umezimwa na internet hakuna ina maana hakuna CCTV wala communication nyingine walizima mpaka simu za kawaida
ukishambua vizuri unaona kabisa tumeshaingizwa mjini, na taarifa ile inasema wamejenga kambi ya waya hapo kagera
wasichosema je wanakwenda kufukuza ndugu zetu kuondoka au wanawachukua kuwa waganda
Hii ni issue ile ile ambayo Watanzania tulimwaga damu kupambana na Iddi Amini leo tuna wageni wanaongoza nchi wametuuza
Ndio maana mimi binafsi kwa sasa ukiniuliza kuhusu huu Muungano nitasema hapana kila mtu aendelee na maisha yake bila Muungano na kila mtu arudi kwao
it is enough
Si tuliambiwa kwenye vyombo vyetu vya maamuzi serikalini kuna watu kutoka nje ya mataifa yetu tena wana vyeo vikubwaKama hili lina ukweli basi hatuna jeshi tuna kikundi cha vigodoro km vile vya mbagala
kwa jeshi lipi? Lile lilopitishwa rwanda? Unaota!Huyu mzee naona akili zake zimehamia kwenye tumbo lake na bahati mbaya mno tutamchinja huyo mwanae ambaye ni Jenerali akiona kwa macho yake.
Ninyi ndio wapuuzi ambao mmsababisha kama taifa tumefika hapa sababu ya kupuuza mambo ambayo yako beyond uwezo wenu, kama huna taarifa na jambo jitahidi kuomba ueleweshwe na sio kuonesha kiwango chako cha upumbavuPropaganda uchwara.
#9D tunatoka.
Kama ana ubavu, sababu, nia, na uwezo aje tumtie adabu hata miiimba japo kizee. Amesahau tulichomfanyia Idi Amin na kumtengeneza yeye siyo?View attachment 3500822
Kuna taarifa ya muda mrefu kwamba Museven ana shamba la Ng'ombe ( ranch ) ndani ya Tanzania kwenye maeneo hayo ni shamba kubwa sana
inaonekana ameingia Tamaa anataka kuchukua eneo ili hao ng'ombe wake wawe uganda
Kuingia kwa hili jeshi sioni tena JWTZ wakaweza pambana na kuwatoa maana vifaa walivyoongia navyo ni mpaka kudongua ndege kama ukisoma ile report ya ndugu yetu kutoka uganda
sasa inaezekana vipi watu walikuwa wanakuja kusaidia maandamano wakaje na vifaa vya kudungua ndege?
tuna uhakika gani mpaka sasa wajaweka mabomu kwenye majengo muhimu kama tishio dhidi yetu tukitaka kupambana nao maana wamezunguka Dar hapo umeme umekiwa umezimwa na internet hakuna ina maana hakuna CCTV wala communication nyingine walizima mpaka simu za kawaida
ukishambua vizuri unaona kabisa tumeshaingizwa mjini, na taarifa ile inasema wamejenga kambi ya waya hapo kagera
wasichosema je wanakwenda kufukuza ndugu zetu kuondoka au wanawachukua kuwa waganda
Hii ni issue ile ile ambayo Watanzania tulimwaga damu kupambana na Iddi Amini leo tuna wageni wanaongoza nchi wametuuza
Ndio maana mimi binafsi kwa sasa ukiniuliza kuhusu huu Muungano nitasema hapana kila mtu aendelee na maisha yake bila Muungano na kila mtu arudi kwao
it is enough
Ntolee upumbavu wako.Ninyi ndio wapuuzi ambao mmsababisha kama taifa tumefika hapa sababu ya kupuuza mambo ambayo yako beyond uwezo wenu, kama huna taarifa na jambo jitahidi kuomba ueleweshwe na sio kuonesha kiwango chako cha upumbavu
Hata uko jeshi lilikua ushuzi tu. Sema kilicholilindia heshima jeshi lilikua bado halijawa exposedJeshi lilikuwepo wakati wa jk na jpm tu, sisasa zimekuja ingizwa kwenye hizi taasis zimefifisha uwezo wake